kumbe ni kweli ile kili star ya cecafa ilikuwa ni simba

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
hiyo nimeamini baada ya baadhi yaviongozi na mashabiki wa simba kujiapiza eti na wao lazima waishangilie na kuisupport zamalek eti kwa sababu yanga walizomea siku kili star ilipokuwa ikicheza mechi katika mashindano ya cecafa. sasa hivi simba wana mpango wa kuagiza jezi za zamalek ili siku itakapo pambana na yanga waishangilie.
haya mambo ya usimba na yanga ndio yanaharibu soka la bongo. Haya mambo ya usimba na uyanga anayaendekeza sana julio ndo maana alizomewa akakimbia. Mia
 
kushangilia timu hii uwe na moyo mgumu kama wa mwendawazimu, la sivyo utapata presha mkuu!
 
iwe simba au yanga ichezapo na timu ya nje bora unyamaze kimya kuliko kushangilia timu ya nje ya nchi yako. binafsi sikubaliani na huu usimba na uyanga usio na tija wala mwelekeo
 
Mimi nashangaa Julio ametajwa sana kwenye timu hii wakati ukweli ni kwamba kocha mkuu wa Kilimanjaro Stars alikuwa ni Boniface Mkwasa. Nashangaa hata kwenye meseji za vipindi vya michezo redioni, watu wengi walisema timu ya Julio imefanya hiki na kile. Ina maana kocha mkuu hakuchagua ile timu akamuachia msaidizi wake? Au ndo kusema Julio yupo juu kuliko Mkwasa? Kwa nini lawama ziende kwa Julio pekee? Sina jibu, ila nilikuwa nabaki kushangaa tu!
 
julio ndo kachagua timu.ova
 
Julio mtata.

julio mpira anachanganya na siasa. mala utasikia goli hili ni zawadi ya rais na mwenyekiti wa ccm mh.dr. jakaya kikwete.
Kwa mfano siku ile anachagua kili star alisema haoni mchezaji yanga wa kucheza kwenye kikosi chake imara atakacho kichagua. mia
 
iwe simba au yanga ichezapo na timu ya nje bora unyamaze kimya kuliko kushangilia timu ya nje ya nchi yako. binafsi sikubaliani na huu usimba na uyanga usio na tija wala mwelekeo

kweli kabisa mkuu. mashabiki wetu inabidi wafundishwe uzalendo. mimi nakubaliana na wewe. Mia
 
Mimi nashangaa Julio ametajwa sana kwenye timu hii wakati ukweli ni kwamba kocha mkuu wa Kilimanjaro Stars alikuwa ni Boniface Mkwasa. Nashangaa hata kwenye meseji za vipindi vya michezo redioni, watu wengi walisema timu ya Julio imefanya hiki na kile. Ina maana kocha mkuu hakuchagua ile timu akamuachia msaidizi wake?

kipindi kikosi kinachaguliwa kocha mkuu hakuwepo. kocha mkuu amekuja dakika za mwisho hata wakina mwaikimba washatemwa.je mwaikimba hana mpira? Mia
 
julio ndo kachagua timu.ova​
  • Makosa machache niliyoyaona mimi kwa Kili Stars
    kwanza TFF kumteua Mkwasa Kocha mkuu
    ..
    1.amekua na timu ya wanawake muda mwingi ...karibu miaka 2

    2.amefundisha timu ya ligi kipindi kichache.(na haiko katika hali nzuri katika ligi).kumbuka twiga wamecheza Afrika Kusini(CAN ya wanawake..na Msumbiji..All Africa Games)
    3.hakuweko wakati anateuliwa kuwa kocha..kaikuta timu tayari imeitwa..
    4.muda mchache wa kuandaa timu ..ambayo ilikuwa imeganywa...Tz Bara na Tz visiwani....kitu ambacho inabidi waanze upya kuzoeana...maana wale wapamoja Taifa Stars..walikuwa hawako pamoja...mnakutana wapya...kocha mpya..muda mfupi..matajario makubwa

    KwaTff
    1.kushindwa kujua mapema kuwa cecafa ni mashindano yanaotenganisha taifa stars...hii maana yake wangeandaa timu ya bara mapema...miaka ya nyuma kulikua na KAKAKUONA na TANZANIA STARS....
    2.kuchagua kocha mwingine..tofuati na Poulsen sababu yeye ni wa MUUNGANNO..ingesaidia kwa kocha kujua Timu yake mapema
    3.kushindwa kuchagua makocha wenye Uwezao..simkatai Mkwasa wala Julio..ila Timu zao hata kwenye ligi kuu hazichezi vizuri,hapa kocha wa JKT RUVU angefaa..kama ushawahi kuiona JKT wakicheza utakuballi..JUMA MWAMBUSI,JOHN KANAKAMFUMU...na wengineo,
    4.TFF ihakikishe zawadi za wachezaji zinafika mapema ...cjui kama zile milioni kumi zao alizo ahidi Mh Pinda wamepewa...hii inavunja moyo kwa wachezaji...

    ni Hayo...naweza rudi nikihitajika

Hata ingekuwa wachezaji wangetoka yanga au azam tupu bila maandalizi hatufiki popote
 
Tatizo ni hawa makocha wa kibongo walililia sana wapewe timu ya taifa kwamba na wao wanao uwezo wa kuifikisha mbali.Matokeo yake ndiyo hayo tumeyaona.
 
  • Makosa machache niliyoyaona mimi kwa Kili Stars
    kwanza TFF kumteua Mkwasa Kocha mkuu
    ..
    1.amekua na timu ya wanawake muda mwingi ...karibu miaka 2

    2.amefundisha timu ya ligi kipindi kichache.(na haiko katika hali nzuri katika ligi).kumbuka twiga wamecheza Afrika Kusini

  • Mkuu Juma na Kanakamfumu hawawezi kuwapa timu sababu huyu tenga ana ubaguzi sana. kuna yule kocha wa ngorongoro hero wote hao wanafaa. Julio ana nini? Mia
 
Hata ingekuwa wachezaji wangetoka yanga au azam tupu bila maandalizi hatufiki popote

tatizo kubwa sio maandalizi. Tatizo ni tff ambao wanaleta zile zana za kupeana ulaji. Kanakamfumu ana uwezo mkubwa sana kuliko julio. Mkwasa wamuache afundishe mademu. tunao makocha lakini tff wana upendeleo na wanataka watu waamin kama makocha wazawa hawajui. wakina julio wamewekwa pale makusudi ili makocha wazawa wapunguze kelele. wangeweka makocha makini paulsen angepoteza kibarua. Mia
 
Tatizo ni hawa makocha wa kibongo walililia sana wapewe timu ya taifa kwamba na wao wanao uwezo wa kuifikisha mbali.Matokeo yake ndiyo hayo tumeyaona.

wakina julio wamewekwa kama mtego ili kuwaziba mdomo makocha wazawa. walitaka watu waseme wazawa hamna kitu ili waendelee kula 10% ya makocha wageni. Tunao makocha wazawa wengi tu. Julio katumika kama chambo kuwaaibisha makocha wazawa. wanajua hana uwezo. Mia
 
Mimi Tangia mwanzo nilikuwa against wazee wa best looser
Coz timu kwanza imeitwa kimagumashi kuna wachezaji wazuri tu ktk vilabu vilivyofanya vizuri mf. JKT Oljoro afu unachukua mchezaji wa Coastal ili took chini uko serious kweli? Na yeye Julio na mwezake hawakuwashirikisha makocha wazawa ktk uteuzi ndo ilikuwa chance ya makocha wazawa kujenga Imani wameharibu wangekuwamakini ktk kazi Yao wangeweza hata kutoa wachezaji hata wawili kutoka chini hadi ktk level fulani, Said Maulid aw nini kweli ka hawa majamaa hawakuwa comedians
 
Back
Top Bottom