Kumbe ni hedhi!

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Kila ikikaribia tarehe flan,bidada huwa anapaniki,vurugu,ugomvi usio na maana,ikabidi nifanye uchunguzi nikagundua kumbe ni kale kamzunguko kake ka mwezini.
Dah.!kumbe waweza kumtosa manzi wako pasipokujua.
Guys watch out...
 
Sio kila mwanamke ataonyesha dalili hizo
 
Una bahati mbaya wengine wanatamani kuwa na wabebs wao karibu wakipewa maneno ya mahaba.
 
Kila ikikaribia tarehe flan,bidada huwa anapaniki,vurugu,ugomvi usio na maana,ikabidi nifanye uchunguzi nikagundua kumbe ni kale kamzunguko kake ka mwezini.
Dah.!kumbe waweza kumtosa manzi wako pasipokujua.
Guys watch out...

Usiombe kukutana na mdada ambae anakuaga short tempered kipindi hicho. Mimi nilishawahi kurushiwa kiti cha plastic kisa utani mdogo wa kila siku ambao tunataniana na huyo mdada. Hadi kesho nkionana nae kabla ya kumtania namuuliza kama leo ni salama au sio salama
 
Ndo ukubwa huo, na ndo maana mahusiano sio ya watoto.
 
Yaaa hapo sasa ni kiuhalisia zaidi kuliko sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…