zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,628
- 3,155
Kuna wakati VOA walikuwa wanajadiliana na Mhadhiri wa UDSM Bashiru Alli na kumwita Prof. wakati nijuavyo mimi hata PhD hana. Inawezekana kupachikana titles kirahisi kama hivi. Mwacheni Mukama aitwe Dk - suala ni je ana- behave hivyo?
Mimi ninavyofahamu ni kwamba kuwa professa ni kufundisha chuo kikuu. Haijalishi una masters au PhD kama unafundisha chuo kikuu basi wewe ni professor at the university. Ndivyo marekani na ulaya inavyojulikana. Kwa system yetu tuna assistant lecturers na lecturers lakini kwa professional hiyo hiyo na huku kwa wenzetu wana assistant professors na full professors. kwa hiyo mwandishi wa VOA atakuwa hajakosea.
Pamoja na hayo issue ya Mukama kuitwa Dr. pale Mzumbe pamoja na yale niliyomsikia anayasema inabaki kama kichekesho cha aina yake. Hivi hawa ccm ni mdudu gani amewaingia kichwani? Kila wakati wanabwabwaja tu maneno bila vitendo. Oh, mafisadi siku zao numbered, oh hatuwaogopi mafisadi, hawatambui kwamba matendo yao yanazungumza kuliko hata maneno yao. Hivi na hao wanafunzi wa mzumbe waliomwalika na kusikiliza propanganda zake wana akili kweli?