Kumbe Ngassa ni Yanga damu!

Kumbe Ngassa ni Yanga damu!

daniel don

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
43
Reaction score
3
Katika kudhihirisha kama alikwenda Azam kimakosa kijana huyo mwenye kasi mithili ya B52, Mrisho Khalfan Ngassa katika mechi mbili za mwisho aliweza kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mashabiki wa Yanga kwa kushangilia goli huku akiwapungia mikono mashabiki wa Yanga badala ya Azam na kutupiwa jezi aliyoibusu kwa hisia kali ya kui miss Klabu hiyo ya mitaa ya Jangwani na Twiga na Siku ya Fainali alionekana akisalimiana na mwenyekiti mpya wa Klabu hiyo Yusuf Manji..ukiangalia tabasamu lake utaona kama anasema Mzee nataka kurudi "nyumbani ni nyumbani" Mazingira hayo yote yanatuonyesha kuwa kijana ana mapenzi makubwa na Yanga..Manji fanya hima mrudishe kijana kundini. Ndio maana nimesema Ngassa kumbe Yanga damu, Simba msijaribu mtaliwa.:israel:
 
Kaona mpunga wa Manji huyo hana lolote.
 
Mbona Manji mwenyewe ni Simba damu? Yuko pale kibiashara zaidi, na bahati nzuri amewakuta 'wajinga' wakampa rungu la kukamilishia mipango yake ya kibiashara.
 
Mbona Manji mwenyewe ni Simba damu? Yuko pale kibiashara zaidi, na bahati nzuri amewakuta 'wajinga' wakampa rungu la kukamilishia mipango yake ya kibiashara.
mbona usemi Rage na katibu wake Mtawali ni timu gani au hamjui!!!
 
Mbona Manji mwenyewe ni Simba damu? Yuko pale kibiashara zaidi, na bahati nzuri amewakuta 'wajinga' wakampa rungu la kukamilishia mipango yake ya kibiashara.

nakuunga mkono kwa asilimia 100,na hata rage yanga damu ila yupo Simba kwa sabb za kishirikina
 
Lengo la azam ni kumpeleka simba mpelekeni muone
 
Back
Top Bottom