Kumbe ndoa zinawafanya wanawake wawe wachawi kiasi hiki????

Wengine tuko ndani ya imani hizi tactic za giza hazituwezi. Ila ni angalizo zuri manake siku hizi one, two dates and babygirl wants you to meet her mama....nkikii?
 
Bujibuji
Unamepatwa na mashwahibu gani tangu lini banda la tope ligaeuka nyumba? Banda umelikimbia umeenda kupanga chumba Manzese kama ni nyumba ya kweli kimekukimbiza kitu gani?
Hilo bangaloo unaloliita banda la tope tulijenga kwa ushirikiano wa hali na mali na Mamndenyi, unapolikashifu, unakuwa humtendei haki na wala huthamini mchango wa mwandani wako. (sikushangai sana, najua kuwa kwa Mamndenyi umefuata zile hela zake za biashara, huna mapenzi ya kweli chama)
 
Last edited by a moderator:
Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao
hamjaoa >>>
Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii
miwili wanaume wengi nisiowatarajia
wameoa na wengine wanaoa,ghafla
ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji
hiyooo.Familia ya Bwana Mbulula
wanayo furaha kukutaariu kuwa kijana
wao....
WANAUME KUWENI MAKINI
Kuna tabia fulani hivi mnawaalika
Mademu Gheto wanakuja wanalala
halafu ikifika asubuhi wanajua kabisa
utaenda kazini,wao wanajifanya
wamelala.Utawasikia 'Bebi we nenda tu
mi niache bado nna usingizi niachie
funguo utaikuta chini ya mlango'
Kwa kumuamini unaacha..DUNIA
IMEBADILIKA...Mchawi sio lazima
avae gagulo,mademu wa siku hizi
wanakupekecha hadi unakaa
sawa,wanachukua nguo yako
wanaipeleka kwa mtaalamu,wanaic
hezea Alingo na Azonto kwa
Mpigo,ukirudi unakuta umepigiwa Pasi
nguo za kwenda kazini kesho na gheto
limepangwa,unajua yeesss..Ukivaa tu
ile nguo,na vile Mungu kwako ni part
time job kama Customer Care operator
UNAKAMATWA...
Usidhani Limbwata ni kwenye chakula
au kuwekewa kipande cha Nyama
kwenye kipapuchi,Watch out...Ni
Sistaduu na ana sura ya upole lakini
Trust No One...wanaloga usitake
Kujua,Ndoa zinasakwa kuliko Form 6
anavyopiga ruti ofisi za TCU..
Ukinitumia meseji ya mchango wakati
wiki6 zilizopita uliniambia utaoa
maybe 2017 najua tayari
umenaswa...Ufunguo wa Gheto
sikupi,amka tutoke wote,usingizi
kwenu!
Alichukua picha ya passport size nitapona kweli!!!!
 
mbona unawaogopesha wenzio? angalia sasa mayowe hayo! mara alichukua passpot siz, mara nini! msiogope wee, ombeni hamtadhurika kwa chochote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom