Travis samwel
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 215
- 42
habar wadau wenzang!!! Nna rafk yang wa kike ambaye yupo nje mkoa na ana mchumba wake tayar na muda mwing huwa nachat nae, kuna wakat anapata shida saana hasa ya pesa na unakuta ananiambia mm nimsaidie, huwa namwambia jamaa yako si yupo kwann usimwambie ili akusaidie kutatua hilo tatizo??? Msichana ananijibu oooh ctak kumwambia coz atajua mm napenda sana hela!! Bas kuna time huwa nampa bt kwa hili mnalionaje lipo sawa??
Mmmh! Bora siye wa mchana kweupee! 'Beby underwea yangu imeraruka' unapewa za uso unatulia!! Ngoja aingie ndoani huyo!
Kwa kuwa unatembelea nyota ya BOT, we endelea kumpa tu wala usimnyime.