labda JF ya siku hizi lakini JF ya zamani zile wadau walikuwa wanakuja na mikasa ya ukweli ya kimaisha kabisa. na maushauri waliyokuwa wanapata yalikuwa ya kujenga sana hata kwa wengine ikitokea mikasa hiyo ikawakuta pia.
the funny thing is that unajikunja kutoa ushauri wa nguvu kwa ajili ya kutatua issue nzito iliyoletwa mezani, kumbe jamaa kaja na mtungo toka kwenye keyboard, full fiction... aaargg