Kumbe ndizo mbinu zao!

katabu

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
309
41
Walitumia mbinu ya visu kuidhoofisha CUF miaka ile, watu tukaamini. Kumbe ilikuwa ni janja yao. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na wanaharakati wa P. Power :whoo:
 
walitumia mbinu ya visu kuidhoofisha cuf miaka ile, watu tukaamini. Kumbe ilikuwa ni janja yao. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na wanaharakati wa p. Power :whoo:

katabu karibu jamvini. Baeleze na benzio bote bajiunge na harakati za .p powerrrrrrr.
 
Karibu Katabu...nahisi ishara zako zaonekana kama vile MS na vikatuni vyake vinafananafanana,hata hivyo karibu.
 
Back
Top Bottom