mtambuzi ya leo mbona fupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
kwa sababu baba yako anasifa zipi zitazo mfanya mama yako alie!!!He he he kama kuna ukweli hapo basi wangu atalia sana........
unataka akupe ndefuuuuuu!!!
kwa sababu baba yako anasifa zipi zitazo mfanya mama yako alie!!!
katika mapenzi hiyo siyo furaha,kulingana na huo utafiti ina maana atakuwa anakuona wivu!!Mpole, mcheshi, anajali n.k n.k namaanisha atalia kwa furaha teh!!!!
nimezoea kila cku kupata ndefu bana, leo naona kafupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imenibidi niulize kulikoni au ndo washamchakachua
na kweli ndefuuu huwa ni tamu, hizi fupi hazifikishi popote unaishia kubaki na kiu.
katika mapenzi hiyo siyo furaha,kulingana na huo utafiti ina maana atakuwa anakuona wivu!!
Kauli yako mkuu' subiri wachambuzi waje