KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 699
watafiti wengine wanakula tu hela ya serikali loh! asa ndio umatafiti nn hapo mweh!
mamadogo,mm simo wananisingizia!!mtambuzi nashukuru mungu kwa kuwa unaendelea vizuri umeweza hatakuendelea na tungo zako zenye mlengo wa kike.kwa watoto bana, hawa watoto wenu wa mageti makali ndo wanakuwaga vicheche sana huko mbele i.e. Elimu ya juu, vyuoni,kwa kuchelewa kuoa ni kutokana na watu kuogopa majukumu, si wamezoea kulelewa na wazazi,la kutongoza wanaume nataka niwaulize hawa binti zangu akina bebii, feisibuku, ashadi, kongosho na wengineo kibao eti hii tabia ya kutongoza wanaume mmeipata wapi?
heri mimi sijatajwa lohMtambuzi nashukuru MUNGU kwa kuwa unaendelea vizuri umeweza hata
kuendelea na tungo zako zenye mlengo wa kike.
kwa watoto bana, hawa watoto wenu wa mageti makali ndo wanakuwaga vicheche sana huko mbele i.e. elimu ya juu, vyuoni,
kwa kuchelewa kuoa ni kutokana na watu kuogopa majukumu, si wamezoea kulelewa na wazazi,
la kutongoza wanaume nataka niwaulize
hawa binti zangu akina bebii, feisibuku, ashadi, kongosho na wengineo kibao
eti hii tabia ya kutongoza wanaume mmeipata wapi?
Kweli hii nayo inaweza kuwa ni sababu mojawapo na hasa kwa wale waliokulia katika familia mabazo zinakumbana na matatizo mengi ya ndoa.mi nadhani sababu kubwa ya kuchelewa kuoa au kuolewa ni; matatizo mengi yanayoongelewa ktk ndoa. Wanandoa wengi pamoja na wazazi wamekua wakiwaambia vijana na watoto wao kuwa ndoa ni ngumu na ina shida na matatizo mengi. Hii imepelekea vijana wengi kuchelewa kuoa au kuolewa wakidai hawataki kuingia ktk shida mapema. Huo ndo mtazamo wangu.
hata infiii ni makahaba, huo ndo ukweli.................The thing watu wanapochanganya wanafikiri ukahaba ni hadi mtu akasimame Ohio, Jolly Club au Q Bar
Word FP....hata infiii ni makahaba, huo ndo ukweli.................
tunaishia kuwanyoshea vidole wenzetu tu wakati na sisi napo tupo. Binafsi huwa inaniumiza sana. mara nyingi nawaza, hivi ni kweli imeshindikana kabisa watu tukawa committed kwa partners wetu?Word FP....
Huu ni mjadala mwingine ambao watu hapa watakuletea sababu lukuki....loltunaishia kuwanyoshea vidole wenzetu tu wakati na sisi napo tupo. Binafsi huwa inaniumiza sana. mara nyingi nawaza, hivi ni kweli imeshindikana kabisa watu tukawa committed kwa partners wetu?
Huu ni mjadala mwingine ambao watu hapa watakuletea sababu lukuki....lol
kuoa ni wito wanaume wenyewe huo wito hawana