usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
Eti anaulizwa majina 5 ni yapi anasema atayataja kesho saa nne, bila kujua kua kuna wajumbe mule ndani hawakuelewana, watatoa siri either wataambia ndugu zao au jamaa zao, mbona watu tumejua majina 5 toka jana tu kikao kilipomalizika basi hata hiyo saa nne usituambie tushajua.