Kumbe nacheza uwanja mmoja na baba

Kula nae kwa zamu
 
Hiyo ni vita ya kiuchumi kabisa na baba yako ni beberu. Hiyo mali ni yako kabisa komaa nayo mpaka mdingi wako ajue, akijua atanyosha mikono mwenyewe.
 
Pamoja mkuu nitajaribu kumuanzishia figisu figisu huyu beki 3 Ili atimuliwe tu.
Acha mazoea na beki3 na acha fitina kwa baba yako, utapotea vibaya, utapata mpaka magonjwa ogopa kbsa jifanye hujui na usimchukie HG, na usiombe shoo, mengine jazia mwenyewe.
 
Endelea nae tu! na ukute mshua anatambua kuwa wewe unapga pia na ili ujue km mshua anajua ngoja ashike mimba ya mshua fasta habari zitafika kwa bi mkubwa kuwa umeshampa mimba beki3
 
Msukumo wa moyo unapoizidi nguvu akili....uso unakosa haya Na matendo ya ajabu yanashika hatamu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…