funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,587
- 21,111
Akimchana mshua akatafute pa kuishiMshua itabidi umchane tu maana hakuna namna nyingine.
Akimchana mshua akatafute pa kuishiMshua itabidi umchane tu maana hakuna namna nyingine.
Kula nae kwa zamuWasalam wakuu,
Ni wiki ya tatu sasa tangu mama asafiri kwenda kwenye msiba huko nyumbani kwao, nyumbani tumebaki mimi, baba na mfanyakazi wetu wa ndani.
Kwa vile mimi nimeshamaliza chuo na muda mwingi huwa nashinda nyumbani (sina kazi) nimejikuta nikiingia katika mahusiano ya mapenzi na huyu msichana waa kazi.
Juzi usiku kama kawaidayangu nilienda chumbani kwake ila sikumkuta ikabidi nitege mingo ili nijue huyu msichana kaenda wapi, baada ya kama lisaa 1 nilishtuka kuona mlango wa kwa baba unafunguliwa na yule msichana wa kazi kakatoka na kwenda chumbani kwake.
Niliumia sana kuona kile kitendo si kwa wivu wa mapenzi bali kwa kile kitendo alichofanya baba na ukizingatia anamke wa ndoa (mama yangu).
Wadau naombeni busara zenu kuwa anachokifanya sio kizuri au nimwambie na bi mkubwa?
Acha mazoea na beki3 na acha fitina kwa baba yako, utapotea vibaya, utapata mpaka magonjwa ogopa kbsa jifanye hujui na usimchukie HG, na usiombe shoo, mengine jazia mwenyewe.Pamoja mkuu nitajaribu kumuanzishia figisu figisu huyu beki 3 Ili atimuliwe tu.