Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,111
- 18,528
Hapa siyo kupiga game fresh, nani anamtoa fresh? Halafu hujui nani alianza na huyo b3.Muulize beki 3 kati yako na dingi nani anapiga game fresh? Upate feedback.
Hapa siyo kupiga game fresh, nani anamtoa fresh? Halafu hujui nani alianza na huyo b3.Muulize beki 3 kati yako na dingi nani anapiga game fresh? Upate feedback.
"...Kizuri daima hakidumu, shida kitaletewa tu suluhu sio kmwambia mzee wako, huyo dada kashapoteza Dira na life gumu alilopitia ndo linamtia hasira"Wasalam wakuu,
Ni wiki ya tatu sasa tangu mama asafiri kwenda kwenye msiba huko nyumbani kwao, nyumbani tumebaki mimi, baba na mfanyakazi wetu wa ndani.
Kwa vile mimi nimeshamaliza chuo na muda mwingi huwa nashinda nyumbani (sina kazi) nimejikuta nikiingia katika mahusiano ya mapenzi na huyu msichana waa kazi.
Juzi usiku kama kawaidayangu nilienda chumbani kwake ila sikumkuta ikabidi nitege mingo ili nijue huyu msichana kaenda wapi, baada ya kama lisaa 1 nilishtuka kuona mlango wa kwa baba unafunguliwa na yule msichana wa kazi kakatoka na kwenda chumbani kwake.
Niliumia sana kuona kile kitendo si kwa wivu wa mapenzi bali kwa kile kitendo alichofanya baba na ukizingatia anamke wa ndoa (mama yangu).
Wadau naombeni busara zenu kuwa anachokifanya sio kizuri au nimwambie na bi mkubwa?
And when it comes vice versa?Mfanyie zengwe beki tatu atimuliwe...
Mnaweza weka houseboy..kama na huyo msure wako akimMendea basi kunatatizo hapo![]()
Kwa akili za ki fullback aliona afanye hivyo kulinda ajira yake kwani anaona hana cha kupoteza kufanya colabo hiyo.Hapo ndipo maadili yametufikisha wanamume sisi waqt mwingine tunakera sasa hata kama ni upweke ndo ufanye self container(yaani unamalizia kila kitu ndani)?dogo kausha tu usipige filimbi kwa mshua wala bimkubwa wala huyo expert kufa kizungu ila achana nae.Huwezi kujua aliyeanza nani... Ila huyo binti kiboko anaifahamu ya baba na ya mtoto... Huu ni uuaji wa wazi kabisa
B-Boy Stereo ChundaBad a.k.a SingaSinga"...Kizuri daima hakidumu, shida kitaletewa tu suluhu sio kmwambia mzee wako, huyo dada kashapoteza Dira na life gumu alilopitia ndo linamtia hasira"
HahahahahaaaAcha wivu mshua ni tingatinga anakuchongea road
House boy akija kummendea mama itakuwajeMfanyie zengwe beki tatu atimuliwe...
Mnaweza weka houseboy..kama na huyo msure wako akimMendea basi kunatatizo hapo![]()
Hiyo familia yenu ina matatizo kuanzia baba hadi wewe, house girl ni sawa na mtoto wa hapo nyumbani, nyie ndo mmefanya kigodoro. Kwa umalaya wenu mtamwambukiza mama wa watu magonjwa. Hakika kwenye mambo ya kipuuzi kama haya siwezi kuwa na subira. Mwambie tu mama yako ili aanze, hayupo kwenye mazingira salama.
How!?? Explain yo self..And when it comes vice versa?