Kumbe na wewe huliwa?

Inaonekana hata taarifa za habari huangalii
Nashukuru mkuu, kwa bahati mbaya sina uwezo wa kuangalia kila habari inayotokea duniani kwa wakati mmoja. Na haimaanishi kila nnachokifahamu au kukijua mimi na wewe lazima ukijue kwa wakati huohuo.
 
Mkuu si unaona hata kwenye hii video. Hao chatu huwa wanaonea vimamba vidogo vidogo, A full grown up mamba, chatu hasimami!!

Nimekupata vizuri, tatizo ni kwamba hakuna guarantee kwamba nyoka hawezi kummeza mamba mkubwa. Nnachojua patakua na patashika ya kufa mtu. Nadhani nyoka ana mikakati bora zaidi ya kiupambambanaji, kwa jinsi anavyomkaba mnyama kabla ya kummeza, huwezi kufurukuta.
 
Nashukuru mkuu, kwa bahati mbaya sina uwezo wa kuangalia kila habari inayotokea duniani kwa wakati mmoja. Na haimaanishi kila nnachokifahamu au kukijua mimi na wewe lazima ukijue kwa wakati huohuo.

Kijana wewe ni mtandawazi ndo maana unatumia JF, FB nk hivyo mara nyingi habari za mitandaoni ni rahisi kuzisoma.
 
Inaonekana hata taarifa za habari huangalii

Kijana wewe ni mtandawazi ndo maana unatumia JF, FB nk hivyo mara nyingi habari za mitandaoni ni rahisi kuzisoma.

Mkuu bado narudia palepale kutokana na kauli yako ya mwanzo, huwezi kufahamu au kujua kila kitu kinachoendelea duniani wakati huohuo. Lazima kuna matukio yatatofautiana, ntasikia hili kabla wewe hujasikia lile ila with time taratibu nnaweza kusikia ulichokisikia wewe mwanzo kabla yangu na wewe ukasikia nilichosikia mimi mwanzo.

JF nakuali kuwepo, huko FB nk sio mshabiki na mtumiaji mzuri. Hata hivyo nakushukuru kwa ushauri wa kufuatilia matukio yanayoendelea, japo sitayapata yote kwa wakati mmoja hata kama naangalia taarifa za habari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…