Asa huo mtanange ukujute binadamu mbona itakua kesi,hatari sana
uyu nyoka kiboko nikikutana nae sitaki lawama mtaji mbio atauwawa na wengine
Hili tukio unaambiwa lilichukua masaa matano mpaka mmoja wapo alipokubali kushindwa.
wacha uongo basi! lilichukua dk 15 tuh!. google tena au rudi ukasikilize vizuri
Kwanini anapomeza kitu haanzii kwenye miguu?
Ni kweli ni kadogo halafu mziki wake, kalimsumbua sana kabla ya kusalimu amri. Kwa jimamba lenyewe chatu hawezi kufanya kitu.Hako katakuwa katoto cha mamba. Jimamba kabisaa limezwe? labda hiyo elementary canal ya huyo chatu iwe ya chuma
MKuu huyo mamba ni mdogo sana ndiyo maana imekuwa hivyo.Nimejifariji kwa kusema huenda mamba nchi kavu hana makeke sana kama alivyo kwenye maji.
wacha uongo basi! lilichukua dk 15 tuh!. google tena au rudi ukasikilize vizuri
Kuna yeyote mwenye clip ya huu mtanange jamani?
Natamani sana kushuhudia.
MKuu huyo mamba ni mdogo sana ndiyo maana imekuwa hivyo.
Mkuu kwenye maji hata chatu anaingia.Hebu naomba uangalie post no 32 mkuu. Hata kama ni mamba mdogo lakini kinachonishangaza ni kwamba, wote tunajua mamba maskani yake ni kwenye maji na humwambii kitu. Lakini aepewa kichapo majini kisha kutolewa nje na kumezwa ili asije kusema ilikua kiwanja cha ugenini.
Kwanini anapomeza kitu haanzii kwenye miguu?