Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Mwanzoni nilidhani Bongo ndio tunaongoza kwa kutengeneza movie mbovu kumbe na wenzetu hawavumi ila wamo...
Ukiangalia cover ya hiyo movie utasema ni bonge la movie lakini ukija kucheki unaweza ukajikuta unaishia kukasirika. Sitaki kusema mengi msije mkasema naongeza chumvi...msinichoshe wala nisiwachoshe...Embu tazama trailer yake hapo chini.

Last edited by a moderator: