Kumbe na wenzetu huwa wanatengeneza movie mbovu hivi!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
Mwanzoni nilidhani Bongo ndio tunaongoza kwa kutengeneza movie mbovu kumbe na wenzetu hawavumi ila wamo...

di-OM0K.jpg

Ukiangalia cover ya hiyo movie utasema ni bonge la movie lakini ukija kucheki unaweza ukajikuta unaishia kukasirika. Sitaki kusema mengi msije mkasema naongeza chumvi...msinichoshe wala nisiwachoshe...Embu tazama trailer yake hapo chini.

Last edited by a moderator:
Ulipoangalia hiyo movie ya sucker punch hukuielewa ndiyo maana. Hiyo movie ni kati ya movie zilizo bamba sana mbele ile ilkuwa ni virtual world kama ya ki matrix vile ndo maana kuna actions ambazo haziwezekani
 
Embu niwekee trailer lake hapa mkuu maana unanitamanisha nidownload HD yake sasa hivi
 
Ulipoangalia hiyo movie ya sucker punch hukuielewa ndiyo maana. Hiyo movie ni kati ya movie zilizo bamba sana mbele ile ilkuwa ni virtual world kama ya ki matrix vile ndo maana kuna actions ambazo haziwezekani

Nimli ielewa vzur mkuu .. Na pia ina idea ya kufanana na matric.... But ile action zake zmekaaa kitoto mno na hawa kujipanga ... Matrix waliweka uwongo ila unaoweza shawish mtu... ila sucker punch haishawishiki kabisaa na hata mtoto mdogo hawez kubali ile kitu.......
 
nurbert yaaani nilivyoidownload suckerpunch nikajua bonge la dude, sijawahi imaliza na nikaacha kuitazama tena

Umeona mkuuu.. Mm nliimaliza coz kuna jamaa alkuja home tukawa tunaichek... Nnge kua pekeangu nsingeweza... Bora nicheze hata game ya puzle kulko ile movie
 
Last edited by a moderator:
ndo maana mie uwa sidownload tu movie ili mradi. uwa naangalia review kwanza idbm, yahoo movies, na kwingine ili nione kama kweli nikiidownload itakuwa worthit nurbert
 
Umenfundisha kitu hapoooo... Maana nmekuaga victim wa kupata movie mbov
 
Last edited by a moderator:
Nimli ielewa vzur mkuu .. Na pia ina idea ya kufanana na matric.... But ile action zake zmekaaa kitoto mno na hawa kujipanga ... Matrix waliweka uwongo ila unaoweza shawish mtu... ila sucker punch haishawishiki kabisaa na hata mtoto mdogo hawez kubali ile kitu.......

Ila kweli unaongea point, kuna bunduki nyingine kama matoy humo ndani sema I think wamefanya kwa makusudi maana kama waliweza tengeneza hizo effects za milipuko, dragon zile actions na mambo mengine sidhani kama walishindwa wapa bunduki zinazoonekana real.
Hiyo the ocult sijaiona sema kuna movie za mbele wanachemka sometimes
 
kuna nyngne inaitwa sucker punch... Ya uwongo vbayaaaaaaa

Thank you, i love sci-fi movies ila hiyo niliiangalia mara 3 na naona utumbo tu. Hii ni one of many zikiwemo INCEPTION, TEKKEN na JOHN CARTER. Like seriously hizi movies wamejaribu sci-fi na wameshindwa. Miserably i might add. Samahani lakini
 
OMG i almost 4got THE SMURFTS, na hizi fairly tales cjui GOLDEN COMPASS na hizi za Johny Dep chocolate cjui nin. I swear i could make a better movie than those.
 
Nimli ielewa vzur mkuu .. Na pia ina idea ya kufanana na matric.... But ile action zake zmekaaa kitoto mno na hawa kujipanga ... Matrix waliweka uwongo ila unaoweza shawish mtu... ila sucker punch haishawishiki kabisaa na hata mtoto mdogo hawez kubali ile kitu.......

Ha ha haaaa!!! Umenifurahisha sana mkuu...nafurahi sana kwa kuwa umeliona hilo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom