kumbe mwanza pana nyumba kali!!

zilivyoungwa na mawe imekaa poa sana.
[h=3]t[/h]
 
Hiyo picha ya pili nyumba MBAYA haipendezi hata ila mandhari ya nje tamu.
 
Hizo zote ziko capripoint ila mwanza hakua architecture mzuri hizo nyumba nyingi zimejengwa hovyo 2 ngazi kibao n corner nyingi ndani y nyumba.ni wachache wamejenga nyumba nzuri kwa kutumia wabunifu wa dar au arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…