Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Nilikuwa nafuatilia Uzi mmoja nikakuta Status ya RIP.duuh umejuaje lakn.....??? Apumzike kwa aman if ts true.
Though am sure humu jf tunaondokewa members kwa vifo kila siku
Wapumzike kwa amaniKiukweli nikiona Id imeandikwa RIP huwa machozi yananitoka na kufikiria mbali sana.
Roho fulani hivi huwa inanijia.
Mungu uwape raha ya milele member wote waliofariki lakini hatukupata taarifa.
Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Mbele yetu, nyuma yao. Amina.Amina mkuu, sote tu njia moja.
Nami nasubili jibu hapa..How would you know if I die????
Once we use our real namesNami nasubili jibu hapa..
....Mhh mkuu!...wao wametangulia tayari, ...kwahiyo..Mbele yao,nyuma yetu...Mbele yetu, nyuma yao. Amina.
Kama tukitumia majina halisiHow would you know if I die????