hahaha mkuu benny. Inaonekana gundu la Sodoma inaindama sana Iyo nchi. Tigo Kwa ke tu ndio inakubalika lakin Kwa me gundu lake la kudumu.So Allepo imechomwa tena nara ya pili baada ya ile ya Sodoma na Gomora?
dah Iyo makitu ngumu sana kukubali. Dodoma imekaa kushoto sana kuwa Na Iyo hadhiKumbe Bustani ya Eden ilikua Dodoma?
NinoooomaKumbe Bustani ya Eden ilikua Dodoma?
ukiangalia Alepo Sasa hivi ndio unaona taswira ya vita ilivyo. So sad really. Na Sasa hivi yeyote aliyetokea Syria hususan Alepo Na Raqah akaweza kuingia Europe straight away anapewa Asylum.Allepo pale pamebaki jivu
hahaha mkuu benny. Inaonekana gundu la Sodoma inaindama sana Iyo nchi. Tigo Kwa ke tu ndio inakubalika lakin Kwa me gundu lake la kudumu.
Bustan ya Eden ilikua Iraq mzee... Mashariki mwa nchi hyoKumbe Bustani ya Eden ilikua Dodoma?
ndio mkuu the boss. Otoman empire imechangia sana kueneza uislam. Pia ndio hao walipeleka Uislam Kosovo, Albania Na Bosnia Herzgovina. Ila walijaribu sana kuwasilimisha sana wa Armenia lakini walikomaa
ndio mkuu the boss. Otoman empire imechangia sana kueneza uislam. Pia ndio hao walipeleka Uislam Kosovo, Albania Na Bosnia Herzgovina. Ila walijaribu sana kuwasilimisha sana wa Armenia lakini walikomaa
Hongera sana kutujuza mazuri sio kila siku siasa tuu, tumechokaMzuka Wanajamvi!
Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.
Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.
Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.
Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.
Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.
Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.
Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.
Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Asante mkuu. Siasa bana ukiendekeza unajenga chuki tu bila sababHongera sana kutujuza mazuri sio kila siku siasa tuu, tumechoka