Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,786
- 3,092
Kwa hiyo haukutumia condomNiseme ukweli nna mke , pamoja na ile ukasumba wetu wanaume katakuwepo tu kamchempuko nilijiwekea katazo kabisa kutotembea na mke wa mtu. Basi kamekuja kabinti field, mazoea mazoea nakaona kabinti tu..
Siku tumeenda vijijini (nilikuwa naendesha Mimi pikipiki) Fina kule fanyafanya kazi Mara mvua hii... Tukashindwa kurudi na hakuwa na kipato ... Tukapiga msosi nkamchukulia chumba nililipia viwili chake na changu , mi mtu wa gambe nkaanza kugonga vitu vyangu . Unakunywa pombe wewe aaa oooh nakunywaga wine ... Tuko vijijini wine hakuna .
Mhudumu akasema labda nimfuatie Redd's akamfatia ... Kidogo akachukua kibegi kina laptop akacheki muvi ...... Naingia kulala namkuta chumba changu. Nkajitupa kitandani nkamwambia akalale kwake . Haaa akanyanyuka na chupi tu akaenda kuzima taa huku akisema nnalala na wewe tupo mbali hakuna atayejua ofisini ..
Sasa na Mimi nipo vinu, nina ukame na mvua ile na kabaridi nikajisemea tu aaah si kapo field tu ngoja nikachape nao... Kweli kamechezea ukuniiii .,mpaka kesho yake tukaondoka jioni ... Sasa jana jumamosi nimeingia jijini mwanza nkapost kwenye watsapp group location ...Mara simu ya msela oya tupo na wana nyamanoro sogea ... Nkafika paap ...
Namkuta yule binti... Kutambulishwa kumbe ni mke kabisaaa wa rafiki yake na jamaa yangu...... Yaani daaah....
......#No secret..!!!!Niseme ukweli nna mke , pamoja na ile ukasumba wetu wanaume katakuwepo tu kamchempuko nilijiwekea katazo kabisa kutotembea na mke wa mtu. Basi kamekuja kabinti field, mazoea mazoea nakaona kabinti tu..
Siku tumeenda vijijini (nilikuwa naendesha Mimi pikipiki) Fina kule fanyafanya kazi Mara mvua hii... Tukashindwa kurudi na hakuwa na kipato ... Tukapiga msosi nkamchukulia chumba nililipia viwili chake na changu , mi mtu wa gambe nkaanza kugonga vitu vyangu . Unakunywa pombe wewe aaa oooh nakunywaga wine ... Tuko vijijini wine hakuna .
Mhudumu akasema labda nimfuatie Redd's akamfatia ... Kidogo akachukua kibegi kina laptop akacheki muvi ...... Naingia kulala namkuta chumba changu. Nkajitupa kitandani nkamwambia akalale kwake . Haaa akanyanyuka na chupi tu akaenda kuzima taa huku akisema nnalala na wewe tupo mbali hakuna atayejua ofisini ..
Sasa na Mimi nipo vinu, nina ukame na mvua ile na kabaridi nikajisemea tu aaah si kapo field tu ngoja nikachape nao... Kweli kamechezea ukuniiii .,mpaka kesho yake tukaondoka jioni ... Sasa jana jumamosi nimeingia jijini mwanza nkapost kwenye watsapp group location ...Mara simu ya msela oya tupo na wana nyamanoro sogea ... Nkafika paap ...
Namkuta yule binti... Kutambulishwa kumbe ni mke kabisaaa wa rafiki yake na jamaa yangu...... Yaani daaah....
Koma.... Niverify tu akaunti sasa.... Hahaha... Eti
Naweza Sema haijatoka coz ... Tulisalimiana na tukatambulishana then after nkajikita kwenye kilevi ...... Uzuri niliwakuta wako Hi so nkatambulishwa nkajitambulisha tukaendelea na ugimbi......#No secret..!!!!
mkuu umenivuja bavu na kicheko aki, ati nini????tule, tunye na tugegede kwa maslahi mapana ya taifa letu
sasa maendeleo gani haya tena mkuu?Mkuu umekula tunda "kimasihara''.hongera mkuu kwa kumchezeshea ukuni endelea hivyo hivyo kwa maana maendeleo hayana chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahonga kirahisi hivyo?Wiki kama mbili hivi nilikmuona mdada wa maana anatembea kando ya barabara nikatafuta sehemu nzuri nikapak kumsubiria.Nikamsalimia nikamuuliza tukapeana namba ila akaniambia anamgonjwa yuko hospital na anatakiwa dawa kama za 28000/=.Basi nikampa alivyoruhusiwa mgonjwa wake nikawa namuita yule manzi napiga ikawa ni kawaida sasa siku moja nikafanya surprise nikaenda kwao bila kumwambia heee ile naulizia kwa masela wananiambia binti kaolewa na wanamtoto mmoja nikasepa bila kuangalia nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app