Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,397
- 19,328
Niseme ukweli nna mke , pamoja na ile ukasumba wetu wanaume katakuwepo tu kamchempuko nilijiwekea katazo kabisa kutotembea na mke wa mtu. Basi kamekuja kabinti field, mazoea mazoea nakaona kabinti tu..
Siku tumeenda vijijini (nilikuwa naendesha Mimi pikipiki) Fina kule fanyafanya kazi Mara mvua hii... Tukashindwa kurudi na hakuwa na kipato ... Tukapiga msosi nkamchukulia chumba nililipia viwili chake na changu , mi mtu wa gambe nkaanza kugonga vitu vyangu . Unakunywa pombe wewe aaa oooh nakunywaga wine ... Tuko vijijini wine hakuna .
Mhudumu akasema labda nimfuatie Redd's akamfatia ... Kidogo akachukua kibegi kina laptop akacheki muvi ...... Naingia kulala namkuta chumba changu. Nkajitupa kitandani nkamwambia akalale kwake . Haaa akanyanyuka na chupi tu akaenda kuzima taa huku akisema nnalala na wewe tupo mbali hakuna atayejua ofisini ..
Sasa na Mimi nipo vinu, nina ukame na mvua ile na kabaridi nikajisemea tu aaah si kapo field tu ngoja nikachape nao... Kweli kamechezea ukuniiii .,mpaka kesho yake tukaondoka jioni ... Sasa jana jumamosi nimeingia jijini mwanza nkapost kwenye watsapp group location ...Mara simu ya msela oya tupo na wana nyamanoro sogea ... Nkafika paap ...
Namkuta yule binti... Kutambulishwa kumbe ni mke kabisaaa wa rafiki yake na jamaa yangu...... Yaani daaah....