Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,962
- 95,436
Nitumie hiyo zawadi then nikufungulie code
Nitumie hiyo zawadi then nikufungulie code
Binamu🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Diana Kimaro,
Story za kwenye kahawa.Looh!!, omba yote duniani lakini sio stress za mapenzi , bibie kakukuruka juu chini afananie na dada ake wa US , ili tu amrudishe kamwambie kwenye himaya yake, unaambiwa bibie karoga kwenye viringe vyote Kumpata ex wake huyo ambaye wengi wanasema wanaendana Ila naona juhudi zimegonga mwamba.
Mbaya zaidi , sasa hvi anatumia kitu cha mjamaika, isitoshe yupo kwenye penzi zito na shoga ake ambaye nae anaigiza, mnene mfupi aliwahi kuokoka sijui ikawaje shetan akampitia, sasa hvi wanakoboana na star huyo mwenye Jina la utamu
Unaambiwa mambo hadharani, hawaogopi wala nini, yani zote hizo ni stress za kumkosa my number one , kaamua tu asagane, na unaambiwa sasa hvi Hana raha, muda wote Ana mawazo , Jina lake alilokua anaringia lime expire . Madanga wa kumhomhonga nyumba ya mil 400 Hawapo tena, dada kawa na nuksi, havumi tena
Jaman si uokoke tu kama Ma chupi ? Mbona mwenzio siku hizi Ana damshi , na danga juu kapata, kila siku anazidi kunawiri, c mlikua mnaroga wote? Haya na wewe okoka Uanze kudamshi huna jinsi , dawa zote zimekukataa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndyo nini?Kwenye kitabu cha Mathayo kwenye biblia🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe nitakuletea babe, kwa hiyo ndo anasagana na kile kitoto daahDiana Kimaro,
Zawadi naichukulia wapi babe
Eeh wanagegedana msemo wa wa kiJf, hahahahaWewe nitakuletea babe, kwa hiyo ndo anasagana na kile kitoto daah
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAHHAHAHHA, UMBEA 101 USHADISCOOOO!Mmmh hizi sasa sifa!!! Yaani sijaelewa kuanzia mwanzo mpaka mwisho
"Thank you God"