Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Kwendraaaaa! Wewe unavyomtukana wema hapo una dada kweli? Hata kama hauna huyo ni mwanamke pia.
Ungeonesha mfano kwanza ndio utuseme sie, mnafki mkubwa.
HALO HALOOOOOOO! HALO YA MAMA CHIBU NA DOGODOGO WAKE ALIYEOA!!
Tena usinichefue ipo siku nikichafukwa nitaweka picha zake chafu huku na huyo serengeti wake, ohooooo!

Hahaaaaa safi sana hili kavu live bila chenga mwanawane inaitwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwahyo wao wana discuss watu wengine wawapendao ni mwiko. Watajijeba kweli kweli😱😱
Chezea JIHOGO LA JaNG'OME lililozua mambo makubwa hadi kumuliza MTU mzima kwa Serengeti boy si mchezooooo eeeeh.:thumbup::thumbup::thumbup:
Lazima aumie sio siri, lakini kutokana na kick mjini mtu inabidi afe kiume tu.
Hahaaaaa safi sana hili kavu live bila chenga mwanawane inaitwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwahyo wao wana discuss watu wengine wawapendao ni mwiko. Watajijeba kweli kweli😱😱
Chezea JIHOGO LA JaNG'OME lililozua mambo makubwa hadi kumuliza MTU mzima kwa Serengeti boy si mchezooooo eeeeh.:thumbup::thumbup::thumbup:
Mkuu Kimbley kuna chokoraa huyu hapa.
Wema hatumtukani ndiyo sifa yake kuu
Hivi wewe hata huoni haya ....kumsuport mburula kama wema?
Mi ningekuwa na dada kama wema ningemtoa msaada tu akatumike kwa watoto yatima kwa kumchezea
Halo haloooooo! Halo ya mama chibu kulilia muhogo wa jang'ombe wa dogodogo!
Hahahahahaaa
Hahahahaaa, usione vyaelea vimeundwa mama.
Domo akadaka jimama kwenye ndege kumbe jimama la watu linamfuata baby dady Katunzi! Mwenyewe akaona kapaaata, na tungojr yetu macho.....kikubwa uzima tu.
Mkuu Kimbley kuna chokoraa huyu hapa.
Wema hatumtukani ndiyo sifa yake kuu
Hivi wewe hata huoni haya ....kumsuport mburula kama wema?
Mi ningekuwa na dada kama wema ningemtoa msaada tu akatumike kwa watoto yatima kwa kumchezea
Kwani unapoweka picha yako ya uchi mtandaoni unategemea watu wasiijadili? Ndo sawa na hao wameiweka picha ya mimba kwa sie public tuijadili...... Privacy iko chumbani kwao ... Na pis wakiweka wanavyodinyana pia tuwadiscuss... Hawataki maneno ha watu basi wabakinazo kwenye visimu au camera zao..... Ila kaa ukijua wenzio wanapenda hii publicity wewe tu ndo kinakusokonyola
Mmeona watoto hawatoshi mmeanza kuwafata mama za watu?
Hivi nyie watu mna wazazi kweli?
Mbona kama ni machokoraa nyie?
hahahahahah...kweli nimemini maneno ya wadau...mashabiki wote wa wema akili zao kama za wema
#Tutaandamana mpaka arudi.
Jamani yanayofanywa hadharani acha yajadiliwe hadharani.Huo mtumbo wa zari kila siku unarushwa kwenye mitandao lazima watu wamjadili akitaka uprivacy atulizane wanaomjadili hawakosei.Hata wanaojadili mimba ni ya domo au katunzi hawakosei wahusika ndo wameruhusu hilo.baba k na mama k.
We baba ubaya si ukubali tu hiyo mimba sio yako? Hiyo mimba ni ya kaka katunzi, so usijishaue kabisa wala huusiki, we chige ebu mwambie huyo ndugu yako aache kushoboka na mbegu za watu, kama zake za kichina atajibeba mxiuuuu
Nasikia baba ubaya zaman alikuwa anapigaga sana punyeto kwa kutumia picha za mastaa maana huwezo wa kuwpata alikuwa hana, so haja zake anazimalizia kwenye picha, sasa ivi kawapata watoto wazuri mbegu zote ziliishia kwenye punyeto looh, kazi anayo mwaka huu..
Ongeeni tu ili muuze magazeti yenu kama hamjawaandika mutalala njaa bure