Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

mbavu zangu leo!!khaa! we kiboko,bora yako umebahatika kuona sura ya mwanae.

Usijali nitamweka siku moja kweny acc yangu ya IG maana namiliki account moja kubwa sana ya michambo. Au nitamleta apa. Najipanga niende nikawe dada wa kazi siku moja mpaka nihakikishe nimempiga picha.
Yaan huwez amin ata madam.wema hana picha ya mutoto
 
Mkuu...unajua mimi hua nashangaa saana.....hawa watu wanaoshabikia watu wa dizaini za wema....Ni shida


She is a proffesional Pros

halafu cha ajabu katika wanawake woote waliotembea na diamond simuoni aliyetulia,wote ni wachafu wa tabia!kama yule king wao anavyobebaga ma house girl
 
Hahahahaaa, halafu nilisahau kama na wewe siku hizi ni mbea tofauti na atoto ndio kabaki mwenyewe.
Ngoja nitakuunga kwenye group la wambea....

Haya tupe kashda shoga, mtoto anafanana na nani? Moze au?

Nangoja kwa hamuu, ingekua ni warumi angetegesha hata camera kwenye kora ya shati.
 
Last edited by a moderator:

duuuh! haatarii!
 

Mimba kabeba Zari, nyie mnamjibia kwa mamlaka gani...
Kinawachoma choma sie kumjadili Zari hapa ndio mahala pake.
Hapa King Kiba wala hausiki.
 

halafu kweli sijawahi kuona amepost
 
halafu cha ajabu katika wanawake woote waliotembea na diamond simuoni aliyetulia,wote ni wachafu wa tabia!kama yule king wao anavyobebaga ma house girl

Kudadeki jamaa anabeba ma bek tatu?

Noma sana
 
Mimba kabeba Zari, nyie mnamjibia kwa mamlaka gani...
Kinawachoma choma sie kumjadili Zari hapa ndio mahala pake.
Hapa King Kiba wala hausiki.

Kweli wewe popo...wewe unapata wapi mamlaka ya kumjadili zari kama unaona huyo kibakuli hafai kujadiliwa hapa?

Point is ...Nyie watu mimba za watu zinawahusu nini?

Usikute we mwenyewe hapo umetoa mimba 300 kama the Profesional Prost role model wenu wema
 
yani watu wanasubiri tu waone mdomo wa mtoto wa Di. Na hakyanani wasipofanana !! Spati picha.

Mimi nangoja viguru vya mtoto.
Dai akisimama ni kama kasimamia mikono.
Huwa mnaiona miguu ya Mama ubaya tu.
 

Unajuaje kuwa hayupo?
Koh koh koh...utasutwa shoga wewe
 
Kudadeki jamaa anabeba ma bek tatu?

Noma sana

ohoooo!!hukuipataga hiyo,beki tatu kabisaaa,alimletea shida huyo beki tatu we acha tu,sema sie wengine hatupendi kuandika privacy za mtu,tunayajua sana tu sema tunakausha
 
Mimi nangoja viguru vya mtoto.
Dai akisimama ni kama kasimamia mikono.
Huwa mnaiona miguu ya Mama ubaya tu.

Halo haloooooo! Halo ya mama chibu kulilia muhogo wa jang'ombe wa dogodogo!
Hahahahahaaa
 

Kwani unapoweka picha yako ya uchi mtandaoni unategemea watu wasiijadili? Ndo sawa na hao wameiweka picha ya mimba kwa sie public tuijadili...... Privacy iko chumbani kwao ... Na pis wakiweka wanavyodinyana pia tuwadiscuss... Hawataki maneno ha watu basi wabakinazo kwenye visimu au camera zao..... Ila kaa ukijua wenzio wanapenda hii publicity wewe tu ndo kinakusokonyola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…