Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Hahahahaaaa, chezea professional gold digger wewe?
Zari ni balaa yule mwanamke.

Yupo kimaslahi zaidi...aache kujaza ac yake pesa abebe mimba ya kitombi.. nani kasema.
Domo kama anataka kuzaliwa mtoto kweli na awe wake asichakachuliwe bore atafute kule tandale
 

Hahahahaaaa, nyie watu wakavu? Siwezi kufanya vile kwakweli, siwezi kabisa.
 
jamani mambo kama hayo si muende kucheki DNA
 
Mie mgeni jaman..sijui nilichelewa wap jaman...ngoja niendelee kujifunza
 

mbavu zangu leo!!khaa! we kiboko,bora yako umebahatika kuona sura ya mwanae.
 
Masikini huyo kiumbe....hakajazaliwa ila tayari purukushani hivi?
 

Heheheeeeheeeeee raha ya umbea ukalie mkeka bibi au ndoo ya plastic.
Makubwaa jongoo kumbe aliachwa na ivani kwa ajili ya kukizururisha looh. Kweli domo kapita kwenye makombo adi a dudu la plastik. Mmmhh ila kweli shoga angu domo kazingua kutoka na zarina angetafuta ata kabint ka kijijini loo...ona sasa ameenda kutoka na mtu aliye kimaslahiii... ebu nipige chafya mie. Uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuchi wang
 
ahahahaaa!!majangaa...mbona majangaaaa.....


Mkuu...unajua mimi hua nashangaa saana.....hawa watu wanaoshabikia watu wa dizaini za wema....Ni shida


She is a proffesional Pros
 
Masikini huyo kiumbe....hakajazaliwa ila tayari purukushani hivi?

Chezea mtoto wa taifa wewe

Akizaliwa itakuwa patashika nguo kuchanika

Birthday Uwanja wa Taifa

cc Kimbley
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa taifa anasubiriwa kwa hamu.

Kaleni malimaoooo...' in gwajimaz vois.

Ivi....vimisemo vingine haviwapendezi wanaume.
Malimao ale Zarina alogonganisha mabwana mpaka sie wambeya tumejikuta katika hali ngumu kuelewa DNA ya kujua mtoto ni wa kike ilifanyikaje fanyikaje na kwa teknolojia ipiii...dna na jinsia kaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…