Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

halaf anasema yupo humu naona yupo kwa I'd mpya SI unakumbuka ishu ya group nayo kaiongelea kua amemuadd group wakat walisema ukiwa na I'd mpya hakuona kujiunga group

Group lenyewe lishaingiliwa na virusi ndio maana halina mwelekeo.Huyu kwanza atakua hampendi kiba..
Pili ndo yuleee amabaye huwa anatumention kwa yule baboon.
 
Group lenyewe lishaingiliwa na virusi ndio maana halina mwelekeo.Huyu kwanza atakua hampendi kiba..
Pili ndo yuleee amabaye huwa anatumention kwa yule baboon.

ni shiiidaaaa mi kwa simu nashindwa ingia group mpaka kwenye tablet lo
 
Wajinga ndiyo waliwao. Dogo kaingizwa mjini . Hana ujanja. Acha aliwe kekundu.
 
halaf kila posti lazima amchambe lol,nimeiona hiyo ya zari napo kachamba,halaf Kwa chin kachambwa na yeye kua amfate jf nifah

Weka screenshot ngosha.
Mie sijaenda huko...last time pia alimchamba niliweka screenshot.Hajaanza leo wala jana.
Ndio pilipili huyu...
 
Group lenyewe lishaingiliwa na virusi ndio maana halina mwelekeo.Huyu kwanza atakua hampendi kiba..
Pili ndo yuleee amabaye huwa anatumention kwa yule baboon.

Achana nao dear, wala usihangaike kumjua ni nani.
Atakata kiuno hadi atachoka mwenyewe, sisi ndio tunazidi kuendelea na mambo yetu wala hatuna habareee.
Ujue group ni hadi notifications zirudi na warumi akijiunga pia ndio patanoga.
 
Nifaaaaaa nianze wehu?
 
Mhuu...ila kuna watu mna mambo ya ajabu.
Mpaka umejitokeza!

Hahahaaa, naona kaamua kujitokeza au (kujipendekeza),nipo namsubiri.
Watu wengine sijui machizi? Yaani wanapenda ligi balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…