Mfano mzuri ni mayai ya kware. Yalipoongezeka bei mara mia kadhaa (kutoka kutojulikana hadi kuwa mayai ya bei ghali) watu wakaanza kufuga, kununua na kuuza. Hili lilichangamsha uchumi. Songwe wanalima maharage wanaita mwasipenjele, yalipanda bei sababu walikuwa wanaexport South. Kila mtu alianza kuchangamkia kuyalima. Hili linazalisha ajira na kuchangamsha uchumi. Mifano ni mingi.Mona hujaeleza kwa mifano jinsi hiyo nadharia inavyofanya kazi? Kwa mfano, maji ya kunywa yanayouzwa Tsh 500 leo yatasababishaje kuchangamsha uchumi kama yatauzwa kwa Tsh 3000 next week ? Au kwa mfano wa mbolea alioutolea mchangiaji no 1?
Lakini je? Unataka kutuaminisha kwamba wanauchumi wetu wabobezi Hawaii chochote kuhusu hasara na faida za kudhibiti mfumuko wa bei ubakie chini ?
Upo sahihi, lakini research zinaonyesha kuwa mfumuko wa bei wa hadi asilimia 40 hauna athari kwenye uchumi. Na mfumuko wa hadi 20% unafaida kwenye uchumi. Shida ipo kuanzia 40% kwenda juu.Mfumuko wa bei unashusha thamani ya pesa, pesa ikishuka thamani na uchumi unashuka Sana.
Hii ni hatari sana kwa nchi zetu hizi ambazo tununua sana nje kuliko kuuza
Hivyo ndivyo tulivyoaminishwa. Lakini hizo hizo nchi tajiri uchumi wao ukidorora huwa wanaweka pesa kibao mtaani na kushusha riba. Kushusha riba na kuongeza money supply ni njia za kuongeza mfumuko wa bei.Mfumuko wa bei ni kitu kibaya sana kwa Uchumi wa Mlaji na wa Nchi.
Hivyo ndivyo tulivyoaminishwa. Lakini hizo hizo nchi tajiri uchumi wao ukidorora huwa wanaweka pesa kibao mtaani na kushusha riba. Kushusha riba na kuongeza money supply ni njia za kuongeza mfumuko wa bei.
Mkuu, ulichokitolea hapa ni just a basic principle of demand and supply. The rarer the dearer. Hata maji ya kunywa yakiadimika, chupa ya 500 leo inaweza uzwa kwa sh 2500 kesho, na sababu kubwa sio mfumuko wa bei but demand and supply. Tueleze mfumko wa bei unawezaje kuchangamsha uchumi?Mfano mzuri ni mayai ya kware. Yalipoongezeka bei mara mia kadhaa(kutoka kutojulikana hadi kuwa mayai ya bei ghali)watu wakaanza kufuga, kununua na kuuza. Hili lilichangamsha uchumi. Songwe wanalima maharage wanaita mwasipenjele, yalipanda bei sababu walikuwa wanaexport South. Kila mtu alianza kuchangamkia kuyalima. Hili linazalisha ajira na kuchangamsha uchumi. Mifano ni mingi.
Moja ya kitu kinasababisha mfumuko wa bei ni exportation. Unafikiri inasababishaje? Exportation inaongeza demand. Demand na supply vinaplay part kubwa kwenye mfumuko wa bei, huwezi kuvitenganisha.Mkuu, ulichokitolea hapa ni just a basic principle of demand and supply. The rarer the dearer. Hata maji ya kunywa yakiadimika, chupa ya 500 leo inaweza uzwa kwa sh 2500 kesho, na sababu kubwa sio mfumuko wa bei but demand and supply. Tueleze mfumko wa bei unawezaje kuchangamsha uchumi?
Mkuu, jaribu hata kutumia common sense. Kwa sasa kuna mfumuko mkubwa wa bei kwenye vifaa vya ujenzi. Je, umesababishwa na export? Je kuna shortage ya vida vya ujenzi tofauti na mwaka jana au juzi iliyopelekea bei kupanda? Na he huku kupanda kumechangamsha vipi uchumi wa nchi? Kukusaidia tu, though mini sijagusa kabisa course yoyote ya uchumi zaidi ya Macro-economics analysis, ungetuambia na CONDITIONS / ASSUMPTIONS under which the theory might work, ungeeleweka. Vinginevyo, the theory, na wewe uliyeileta hamuelewekiMoja ya kitu kinasababisha mfumuko wa bei ni exportation. Unafikiri inasababishaje? Exportation inaongeza demand. Demand na supply vinaplay part kubwa kwenye mfumuko wa bei, huwezi kuvitenganisha.
Mfano, bei ya samaki wanaovuliwa ikiongezeka basi ujue wengi zaidi wataanza kuvua, na wale waliokuwa wanavua watawekeza zaidi. Bei ya ufuta au mbaazi ikiwa juu basi fahamu kuwa wengi watalima na kujiajiri kwenye hiyo sekta.Mkuu, jaribu hata kutumia common sense. Kwa sasa kuna mfumuko mkubwa wa bei kwenye vifaa vya ujenzi..... je umesababishwa na export? Je kuna shortage ya vida vya ujenzi tofauti na mwaka jana au juzi iliyopelekea bei kupanda? Na he huku kupanda kumechangamsha vipi uchumi wa nchi? Kukusaidia tu, though mini sijagusa kabisa course yoyote ya uchumi zaidi ya Macro-economics analysis, ungetuambia na CONDITIONS / ASSUMPTIONS under which the theory might work, ungeeleweka. Vinginevyo, the theory, na wewe uliyeileta hamueleweki
Kila kitu kina pande mbili. Unachomaanisha kuwa upande wa faida ya mfumuko wa bei ni nyingi zaidi ya upande wa hasara?Upo sahihi, lakini research zinaonyesha kuwa mfumuko wa bei wa hadi asilimia 40 hauna athari kwenye uchumi. Na mfumuko wa hadi 20% unafaida kwenye uchumi. Shida ipo kuanzia 40% kwenda juu.
Bado nakusaidia mkuu, bei ya mbaazi ikiongezeka na wakulima wengi zaidi wakakimbilia julian mbaazi, bado inaangukia kwenye demand and supply. Wakulima kukacha kilimo cha kahawa au mahindi kwa sababu tu bei zimeporomoka bado kunakurudisha pale kwenye demand and supply. Na nikukumbushe tu kuwa demand and supply siyo the only factor inayopelekea mfumuko wa bei, ziko factor nyingine nyingi.Mfano, bei ya samaki wanaovuliwa ikiongezeka basi ujue wengi zaidi wataanza kuvua, na wale waliokuwa wanavua watawekeza zaidi. Bei ya ufuta au mbaazi ikiwa juu basi fahamu kuwa wengi watalima na kujiajiri kwenye hiyo sekta.
Unafikiri kwanini watu wanaacha kulima kahawa, ni ajira ngapi zimepotea? Ni kwa sababu bei haipandi kabisa. Unafikiri wangapi wamekimbia kulima mahindi sababu ya bei ndogo? Nafikiri wewe ndiyo unatakiwa kutumia common sense.