Kumbe mapumziko ya mkuu ni special mission

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
Wanabodi

kumbe mkuu wetu, "mzee wa majipu" likizo yake ni kwa ajili ya kazi maalum na sio mapumziko kama ilivyotanabaishwa.

Baada ya CAG kumkabidhi ile report ya ukaguzi, Mzee wa kutumbua majipu akaona ni vyema aipitie neno kwa neno, aya kwa aya, na kurasa kwa kurasa mpaka mwisho. Na kwa kuzingatia kuwa ikulu pako busy sana, Mkuu akaamua kuingia chato ili kujipa muda wa kutosha kufanya hivyo.

majipu jiandaeni. Nakutakia kazi njema mkuu wa kaya,

source: nimepenyezewa kutoka hukohuko alipo
 
Haaaah!, psychology hizi hatari sana. Kila laheri, tunamsubiria kwa hamu atoke chimbo akiwa yupo full rohoni hadi mwilini
 
Back
Top Bottom