ila sijaona ambacho ameonngea zaidi ya pumba na ushabiki shabiki tu . badla ya kujadili hoja yeye anajadili watu. angeenda kujiuza na si kuwapiga madongo wenzake. kiukweli anaonekana ni mhuni mhuni tu hana uwezo wowote basi tu.
labda ccm iamue kumbeba.... na hata angefanana na nyerere bado si sifa tunayoitaka.,kama sautu inafanana na nyerer sisi inatusaidia nini? kwan sisi tunataka mwigizaji wa sehemu ya kuongea nyerere wenye movie? aende zake huko ...mhuni mhuni tu chapombe na hajaonge hoja yoyote zaidi ya kufanya ucomedy.
Natamani Lowasa aseme atakamata mafisadi wote siku akichukuwa form
ila sijaona ambacho ameonngea zaidi ya pumba na ushabiki shabiki tu . badla ya kujadili hoja yeye anajadili watu. angeenda kujiuza na si kuwapiga madongo wenzake. kiukweli anaonekana ni mhuni mhuni tu hana uwezo wowote basi tu.
labda ccm iamue kumbeba.... na hata angefanana na nyerere bado si sifa tunayoitaka.,kama sautu inafanana na nyerer sisi inatusaidia nini? kwan sisi tunataka mwigizaji wa sehemu ya kuongea nyerere wenye movie? aende zake huko ...mhuni mhuni tu chapombe na hajaonge hoja yoyote zaidi ya kufanya ucomedy.
Kipimo hasa cha utendaji wake tunaweza kuona wapi?
uyu jamaa mi ndo sijamwelewa chochote,, anapenda story,,,anapiga vijembe tu wenzake
hatuwezi kuongozwa na wajinga kisa babazao walifanya makubwa kwenye hii nchi,ukimzungumzia George Bush junior au Jeb nitofauti sana na Makongoro na Riziwan...!!!hamuwezi hata siku moja kutumia mifano mfu ya Marekani kuileta Tanzania..!!!Bongo land we need more equal opportunities..!!!mnataka tumalize karne bado tuko chini ya utawala wa familia
Kama babako ni mvuvi atakufundisha kuvua nawe utakuwa mvuvi.
Hata kucheka kwa mbaaali kama baba yake.
ubunge wa east afrika, ubunge nccr, mwenyekiti ccm musoma au ulitaka apewe uwazili ajiunge na genge la wapiga dili? au ulitaka apewe ukuu wa mkoa kwa lengo la kukandamiza upinzani?
Binafsi nimeanza kumfuatilia huyu mtoto wa Baba Taifa,naamini anatofauti na wana CCM wote, kwanza alinifurahisha kumpa live JK kuwa anawapenda sana rafiki zake, huyu naamini ana maamuzi magumu zaidi ya yale Lowasa anayopigia kelele, tumpeni muda, tumsikilize na kumfuatilia huenda tukapata kitu.........ila niweke wazi kabisa pamoja na kumfuatilia na kumsikiliza mimi na UKAWA, UKAWA NA MIMI.