Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
kwenye blog hii ya wakenya nimekuta kwenye mahusiano lawama na malalamiko ni kibao yaani hakuna anayesema ameridhika labda ndiyo maana kuna blogger mmoja huko Kenya aliwashauri wakike wao kuja TZ akidai kuna midume murua lakini wavivu hawapendi kufanya kazi...............hebu pitisha macho ujionee mwenyewe..........inasikitisha............................wengine kupora wake za rafiki zao.......................wengine wachumba wanataka nafasi wapishwe baada ya kutumbua na wapenzi wao kwa muda mfupi............................it is a crazy World we are living in....................
Cupid's arrow
Cupid's arrow