Kumbe Madiwani Wameshaanza Kujibu

Chadema wanatia huruma! Ukiona walivyoongozana kwenda TAKUKURU msigwa,nasari na lema utafikiri watoto yatima
Lakini mbona takukuru nachenyewe ni chombo moja wapo kati ya vile ambavyo walitangaza kutokuwa navyo imani sasa inakuwaje tena wamepeleka ushahidi si wangewapekekea hao Scott land?
 


Yaani siasa za Tanzania ni sawa na mtu anayetumia nguvu nyingi na muda kuonyesha kuwa ana pesa badala ya kutafuta pesa.

Malumbano hayaishi. Lini tutaona video za maendeleo yaliyofanywa na wabunge na madiwani katika maeneo yao ya kazi.

Huyo f.ala kafundishwa na akina Le mutuz aongee huo ujinga akidhani watanzania ni wajinga kiasi hicho, hakuna mwenye Akili atamsikia na kumuelewa
 
Kamera inaonesha 2008 kwenye video
Jiongeze tumia hata Ubongo wa Akiba kuficha Aibu hiyo yaani tarehe 2008 mkuu wa wilaya alikuwa huyo wa sasa? Madiwani walikuwa hao? Tarehe ni mtu mwenyewe huiseti ukisahau inachukua tarehe uliyoiacha kwenye chombo cha kurekodia
 
Kwa Bahati nzuri watanzania wa sasa wanajua kupima vizuri na kwa sasa wengi wanaamini ushahidi wa Rushwa hata watuhumiwa wakijitetea vp hawataweza kuzuia tuhuma za Rushwa dhidi yao.
 
Dawa imewaingia..katokwa povu zito la sabuni ya magadi..et sisi tulimtangulia kusoma..ulisoma mwaka gan na technology ilikuaje kipind hicho?
 
Back
Top Bottom