Kumbe Lowassa alirudi CCM kwa masharti

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Nilikuwa naangalia gumzo la Mungano kupitia ZBC2 Tido Mhando akimhoji Bashiru Ally. Lowassa aliandika barua ya kuomba kurudi kwa masharti kadhaa ambayo bado hayajawekwa wazi.

Pia alipelekwa na swahiba wake Rostam Aziz ili kutia nguvu.
 
Hukusikia siku mbili baada ya Lowassa kurudi nyumbani CCM mkwe wake alifutiwa mashtaka yote. Yuko nyumbani bwana Sioi anaendeleza familia
Mashitaka yalifutwa, yakafunguliwa upya. Ni ishu ya zamani Kabla EL hajarudi ccm, ule uzi watu walifukua makaburi tu baada ya mzee kuhama.
 
Back
Top Bottom