Kumbe kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki Chadema inaweza kushinda dhidi ya CCM

Tunakumbushana tu hapa duniani mambo yamebadilika Sana

Usimdharau yoyote kwa chochote

Dunia ya Propaganda inaelekea ukingoni

Wenye Masikio na Wasikie

I wish you a Merry Christmas 😀
Mimi nasemaje ! ? CHADEMA hata waende makaburini kutambika kwa kusaula nguo zote na kugaragara mpaka asubuhi ,hawawezi kushinda uchaguzi na kuongoza nchi. Wataishia kwenye Udiwani na Ubunge.
 
Tunakumbushana tu hapa duniani mambo yamebadilika Sana

Usimdharau yoyote kwa chochote

Dunia ya Propaganda inaelekea ukingoni

Wenye Masikio na Wasikie

I wish you a Merry Christmas 😀
Wakijipanga kujitokeza kupiga kura kwa wingi na kuondoa logic ya tunaibiwa wana uwezo wa kushinda!
 
Back
Top Bottom