Kumbe kweli tulikuwa tunahujumiwa, thamani ya dola imeshuka

2275/= kuna tofauti ya TZS 25, unadhani ni ndogo? Inaweza kuwa ndogo kama umezoea kushika m dola 10 - 100, wafanyabiashara ambao wanafanya biashara za $100k wanaona shida yake...umeelewa asha ngedere?
wakati kina Zitto wanapiga kelele dollar ilikua inauzwaje?
 
Kwako wewe dola kuwa 2300 au 2200 hapo ni sawa?! Dola ilibidi iwe angalauchini ya 1000. Sitaki niongee sana kwa kuwa sina uhakika kama unajua masuala ya EXPORT na IMPORT. Uimara wa shilingi yako inategemea na mauzo yako ya nje. Korosho umeharibu, mbaazi umeharibu, wenye viwanda unawateka na wengine kuwasingizia kesi za uhujumu uchumi.....
Ndio maana mdau kasema uchumi haupo Sawa,kitu ambacho ni very obvious.
 
Kwako wewe dola kuwa 2300 au 2200 hapo ni sawa?! Dola ilibidi iwe angalauchini ya 1000. Sitaki niongee sana kwa kuwa sina uhakika kama unajua masuala ya EXPORT na IMPORT. Uimara wa shilingi yako inategemea na mauzo yako ya nje. Korosho umeharibu, mbaazi umeharibu, wenye viwanda unawateka na wengine kuwasingizia kesi za uhujumu uchumi.....
Elimu Elimu Elimu, watu wanafikiri benki na maduka ya fedha ndiyo yanayopandisha na kushusha thamani ya dola. Waeleweshe.
 
Halafu Leo naona pia ipo chini ya 3000. Anyway, tukubali tu kuwa uchumi wetu uko vibaya. Kwa miradi tunayotekeleza tunahitaji strong fiscal and monetary policy.
 
Hujajua tu kuwa huwezi ku-fix bei za vitu ikiwemo exchange rates na ukafanikiwa? Subiri akiba ya mafuta yaliyopo yaishe utaona exchange rate itakavyokuwa.
Hilo unaweza ukalingoja sana mkuu kwa huyu mjomba aliyepo madarakani
 
Kwako wewe dola kuwa 2300 au 2200 hapo ni sawa?! Dola ilibidi iwe angalauchini ya 1000. Sitaki niongee sana kwa kuwa sina uhakika kama unajua masuala ya EXPORT na IMPORT. Uimara wa shilingi yako inategemea na mauzo yako ya nje. Korosho umeharibu, mbaazi umeharibu, wenye viwanda unawateka na wengine kuwasingizia kesi za uhujumu uchumi.....
Hizo kauli zote ni hasira mlizonazo ila hii ligi mnayo mpaka 2025 mana tumegoma kuruhusu siasa chafu
 
Basi kumbe wameweka masharti mapya ndio maana, kufungia Bureau wamezionea tu..kama ni sharti hili si wangewaambia Bureau nao waanze kufuata

Hivi mkuu si kuba account siku hizi za benk naweza ku deposit Tshs kisha nikaagiza kitu nje kwa online tu (sihitaji kwenda Bureau maana yake)
Ama..?
Binafsi nilikuwa natafuta rate nafuu kwa hiyo nikawithdraw Tzs ili nikapate dolali nafuu ndio nikaipata TPB ila hata kama unafanya TT au online nadhani watahitaji proof of purchase kv invoice nk
 
Back
Top Bottom