Kumbe kweli tulikuwa tunahujumiwa, thamani ya dola imeshuka

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,830
2,417
Leo nimejipa mtihani mdogo kabisa kupitia katika bank tofauti na baadh baadhi ya bureau de change za hapa Tanzania,nilichokiona ni kwel kabisa mheshimiwa rais aliposema tunahujumiwa na baadhi ya watanzania wakishirikiana na makanjubah katika bureau de change zao na baadh ya bank ndogondogo ambazo nia ilikuwa ni kuharibu taswira ya uchumi wetu.

Labda nibak kwenye kwel uchumi wa Tanzania kiufup haupo sawa mana hili naliongea kama mtanzania ambae naishi katika jamii ambayo nashinda nayo na naishi nayo lakin wote tunajua kwann uchumi haupo sawa kama hapo nyuma ni kutokana na miradi mikubwa ambayo serikali inaiendesha kwa sasa lakin i hope ikishamalizika tutarud katika njia iliyokuwepo tuwe wavumilivu.

Turud katika point,hata kama uchumi wetu katika kipind hiki haujakaa sawa lakin tusitumie nafasi hiyo kuendelea kuihujumu nchi tujaribu kuwa wazalendo haiwezak dola ilitoka 2250 ghafla kwa miez michache ikafikia 2400 hiyo haipo hata uende nchini Libya ambako kila siku uchumi unaporomoka hawafikii kasi hii.Sasa ona baada ya kuwakaba mahafidhina wakubwa tulipo hii leo katika exchange rate in term of Dollar.

CRDB BANK(Buying 2265, Selling 2325).

NMB BANK (Buying 2270, Selling 2320).

NBC BANK (Buying 2270, Selling 2325).

BOT (Buying 2276, Selling 2299).

KCB BANK (Buying 2267, Selling 2300).

Bureau des change tofauti tofauti (Buying 2275, Selling 2325).
 
Posta 2315 ijumaa hii nimenunua usd ila hadi uwe na invoice na ID...nilikuwa naagiza kidubwasha huko ng'ambo ikabidi nidanlod invoice ndio wanipe dola...jamaa wanadhibiti hatari
 
Posta 2315 ijumaa hii nimenunua usd ila hadi uwe na invoice na ID...nilikuwa naagiza kidubwasha huko ng'ambo ikabidi nidanlod invoice ndio wanipe dola...jamaa wanadhibiti hatari
Basi kumbe wameweka masharti mapya ndio maana, kufungia Bureau wamezionea tu..kama ni sharti hili si wangewaambia Bureau nao waanze kufuata

Hivi mkuu si kuba account siku hizi za benk naweza ku deposit Tshs kisha nikaagiza kitu nje kwa online tu (sihitaji kwenda Bureau maana yake)
Ama..?
 
Fanya manunuzi nje, nunua kitu tuu hata alibaba/ebay cha dola moja uone uta exchange vip
Mshazoea kukosoa! Shilling imepanda thamani. Hata huko Alibaba wana-exchange kwa 2300
20190511_181352.jpeg
 
Hapo kwenye thamani ya dola sio siri kuna wahuni na wahujumu uchumi walikua wanaichezea nchi, kwasasa zile fluctuations za ajabu ajabu hazipo, big up BOT (wakati mwingine sifa tuzielekeze kwa wataalamu wanao 'initiate' na kutekeleza sera)
 
Kwako wewe dola kuwa 2300 au 2200 hapo ni sawa?! Dola ilibidi iwe angalauchini ya 1000. Sitaki niongee sana kwa kuwa sina uhakika kama unajua masuala ya EXPORT na IMPORT.

Uimara wa shilingi yako inategemea na mauzo yako ya nje. Korosho umeharibu, mbaazi umeharibu, wenye viwanda unawateka na wengine kuwasingizia kesi za uhujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom