Kumbe kweli Serikali imehamia Dodoma

Salia Mdavadi

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
64
Reaction score
35
Kumbe kweli Serikali imehamia Dodoma nipo zangu Posta mpya hapa ninanusu saa sijaona STK wala STL wala STJ kubwa zaidi hapa Posta palikuwa na wadada warembo sana unakuta wapo na visimu vyao na eyphone Leo kimya kama mahame vile.

Asante Rais Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante ya nini sasa!???
 
Yupo Posta Lisaa limoja limepita anahesabu magari ya serikali na watoto wazuri 😡😡😡
Vijana wamikoani mnawaaibisha ndugu zenu.
 
Hembu tuletee takwimu za waliohamishiwa dodoma manake mpaka sasa sijaona shirika la umma hata moja ambalo limehamia dodoma. Pia huyu jamaa anadhani serikali kuu hasa wizara zinawafanyakazi wengi kivile mpaka pawe na impact kuondoka kwao DSM
 
Mnakosa kazi. Kisa kuwinda mademu za watu ili muambukize!!

JPM KAMATA WEZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…