Kumbe kweli Lowassa hafahamu matatizo ya Watanzania.

Kumbe kweli Lowassa hafahamu matatizo ya Watanzania.

Kukubali kumpoteza Dr. Slaa na kumpamba lowassa ni hatari sana.

Eti wanadai tafiti zilionyesha Lowassa ni zaidi ya Dk. Slaa?

Huyu Lowassa hata kuongea hawezi?

Huyu Lowassa hata kusimama kwa muda mrefu hawezi?

Huyu Lowassa ambaye utendaji wake kama Mbunge hauna la kujivunia ukilinganisha na yale aliyoifanya Dk. Slaa kwa muda mfupi katika Jimbo la Karatu.

Hakuna cha tafiti bali ni pesa ndizo zimesababisha Dk. Slaa kuwekwa kando katika chama.

Hiki ni kichekesho cha karne!
 
TAHADHARI NA CYBER CRIMES ACT.

Dear Admins/Members,

Kuanzia saa 6:00 usiku wa 31.08.2015, mnapo chati katika magroup, mambo yafuatayo yatakuwa yanakuweka matatani kwa kuvunja sheria ya makosa jinai ktk mtandao (Cyber crimes Act)
1. Kupost picha za kingono za watoto au child pornography
2. Kupost picha za ngono au za utupu (Pornography)
3. Kupost taarifa na kujifanya wewe ni mtu fulani wakati sio au kwa maneno mengine impersonation
4. Kupost taarifa au data katika mfumo wa picha ambazo ni uongo, sio sahihi na zinapotosha umma
4. Kupost au kusambaza ujumbe wa kibaguzi
5. Kumtukana au kumdhalilisha mtu mwingine kwa misingi ya ukabila, jinsia ,rangi, dini yake au utaifa wake
6. Kupost picha au chapisho linalohamasisha vitendo vya kigaidi
7. Kupost taarifa ya uchochezi kwa mtu au kikundi cha watu
8. Kutoa matamshi ya kashfa kwa mtu au kikundi cha watu, Taasisi n.k
9. Kupost Breaking News ambazo hazijawa verified au kutoka chanzo kinachoaminika
10. Kupost tetesi

Chukua tahadhari kuwa endapo utafanya moja ya mambo hayo hapo juu basi unajiweka ktk nafasi ya vyombo vya Dola kukuchukulia hatua kwa mujibu wa CYBER CRIMES ACT 2015 na sheria nyingine za nchi. WATCH OUT.

Ahsanteni.
 
Inasikitisha sana tunaoambiwa ni maskini na tunaotakiwa kukombolewa kutoka kwenye umaskin uliokithiri ndio tunaoombwa fedha za kampeni kwa kile mbowe alichokiita sadaka ya mabadiliko. Lakin bado tunashangilia tumekuwa malofa na wapumbavu kweli kweli.
Kinachofanyika ni kama usanii na ulaghai.

CHADEMA watamkumbuka Dk. Slaa kwa kazi kubwa aliyoifanya mpaka chama kufikia katika hii ambayo imepelekea kuvuta watu wenye pesa ili kuwekeza kisiasa kwa faida zao binafsi.
 
Nimeisoma ilani ya chadema nimeipenda imekaa sawa watafute pakuficha sura zao haooooooooo!
 
huyu huwa haishii tu kuyafahamu bali huhakikisha anayajua matatizo ya watu. point of correction, ni kwamba anayajua
 
Back
Top Bottom