Kumbe kutongoza bubu kazi

Huyo akikupenda atakuja mwenyewe, huwa hawana longolongo kuna rafiki yangu tulienda wote field maeneo ya HAI, tulipokuwa tunaishi jirani palikuwepo kabinti kazuri kumbe ni bubu na hasikii pia, sasa alipotuona akawa anakuja kututembelea na akamchagua mmoja wetu tulikuwa watatu ndo wakawa wanawasiliana kwa ishara japo na huyo mwenzetu alikuwa hajui alichofanya alimuonesha ishara ya mapenzi kwa kuweka mkono wake kifuani na kuinama kidogo. Binti huyo alifurahi ndo akamukaribisha chumbani na siku hiyo hiyo akala mzigo. Iliendelea kila siku akituona tunatoka job na yeye anakuja. Kimbembe kilikuwa atamuagaje siku akiondoka maana huyo binti kiziwi alizimika sana, ilibidi tutorokea saa 11 alfajiri. Pamoja na hayo mama yake alikuja kugundua kwamba mmoja wetu anakula mzigo na alimfuata akamwambia tafadhari usimpe mimba maana akizaa atahangaika na mtoto.
 

Daa inasikitisha inamaana mlifanikiwa kuondoka bila kumuaga maana nafikiri hapa kwenda kozi naona issue nyengine ili niwasiliane
 
Daa inasikitisha inamaana mlifanikiwa kuondoka bila kumuaga maana nafikiri hapa kwenda kozi naona issue nyengine ili niwasiliane

Yap, ilibidi tuondoke bila kuagana nae maana alikuwa ni mbishi sana, kama angetuona tunaondoka lazima angetaka aondoka na mshikaji. Hao viziwi niliwaona wanapenda kwelikweli aisee. Kila siku jioni lazima aje kupigwa shine na alikuwa anaingia chumbani bila hata kupiga hodi na akitukuta na mshikaji alikuwa anatuonesha ishara ya kututaka tuondoke na siku angemkuta binti mule room nahisi angemtoa macho kwani wana hasira sana, kwahyo na sisi kama vile tulipigwa ban ya kutoingiza mademu ndani.
 

Ni kweli kuhusi hilo la hasira nililiona mlikuwa na kazi kweli sjui ingekuwaje mgekaa miaka miaka mingi hiyo sehemu kwa kupigwa ban
 
wee! ukikutana naye tena mshike kifua chake uone shughuli yake!!!! jamaa mmoja nusu ang'ofolewe mzizi wake!! hao mbinu endelea kujichekesha mwisho anaingia au mwombme mwalimu akusaidie!!!
 
Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake.
 
Ni kweli kuhusi hilo la hasira nililiona mlikuwa na kazi kweli sjui ingekuwaje mgekaa miaka miaka mingi hiyo sehemu kwa kupigwa ban

Hapo tungemuachia room mshikaji na sisi tukapanga lingine afaudu vizuri.
 
Muulize A. Zanto alitumia mbinu gani kwa yule "Binti Kiziwi"
 
Labda,ila mimi najua kuna muingiliano mkubwa ndio mana hata viziwi sauti haitoki.
Mm hata sijui ila naskiaga mabubu wengine wanaskia kinachozungumzwa kujibu ndo shughuli na wengine hawaskii kabisa
 
Labda,ila mimi najua kuna muingiliano mkubwa ndio mana hata viziwi sauti haitoki.

Si kweli kwamba viziwi sauti haitoki labda wachache sana waliopata ukiziwi tumboni kabla hawajazaliwa. Viziwi waliopata ukiziwi utotoni, ujanani na ukubwani sauti inatoka vizuri tu. Sema wanaprefer sign language ili kupata ujumbe kwa urahisi maana hawasikii. Unapotumia lugha ya alama si lazima utumie na sauti. Ndo maana kiziwi akitumia mkalimani wa lugha ya alama hujitahidi sana kuizuia sauti yake isitoke.
 
Kama unataka kumuoa kila kheri pambana ila kama unataka umchezee bubu ushindwe na shetani akulaani
 
Haya mkalimani.
 

Mtafute Z-anto au H-baba, hao ndo mabingwa wa hizo huduma
 
Kama unataka kumuoa kila kheri pambana ila kama unataka umchezee bubu ushindwe na shetani akulaani

Km akiwa na tabia njema notamuoa usjali mwanzo tu mgumu sipati picha mazungumzo yetu yataendaje na kupanga maisha ya ndoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…