Kumbe kuna wanawake wazuri sama humu Jamiiforums

Afadhali katutoa kimaso maso member mwenzetu maana kila siku tunapondwa humu na sura za baba zetu. Wengine na kutukimbia kabisa kisha kuja kusimulia.

Mungu anaishi.
Pole dada yangu nipe moyo maana '' imeandikwa watoto wa kike mtafanana na baba zenu''
 
Back
Top Bottom