Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,023
- 144,381
Acha uzushi wa kipuuzi sasa.Sasa si muendelee na Bunge lenu?
Sawa. Waacheni viongozi wetu msiwatishe au kuwahonga ili wateue wabunge viti maalum.We fala hii nchi inazo pesa sasa hivi,hata uchaguzi ni pesa za ndani zimetumika. Tril 2 si kitu kwa Tanzania ya leo.
Nje ya mada nalogoff naenda kunywa kahawa kwa mzee Shomari.Sawa. Waacheni viongozi wetu msiwatishe au kuwahonga ili wateue wabunge viti maalum.
Si mna hela? Nini kinawahangaisha hadi mnataka kughushi saini za viongozi wetu ili tu muwateue kuhadaa ulimwengu kuwa wapinzani wamewakubali?
Donor countries wanaelewa njama zote.Mkuu, hawa hawashindwi kujiundia upinzani wao!
Magufuli = To EverythingSiku hizi tiss ni mtu mmoja
Polisi ni mtu mmoja
Mahakama ni mtu mmoja
Tume ni mtu mmoja
Yani kila kitu kinaamuliwa na mtu mmoja
Upinzani wa kuingia Bungeni wanauunda kwa misingi yapi, walitakiwa wawape Ubunge Upinzani walio uunda toka wakati wa Uchaguzi sio wakati huuMkuu, hawa hawashindwi kujiundia upinzani wao!
Ndugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada. Magufuli ameshaondoka huko. Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka Barick, tumepata certificate ya bati yetu. Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta.Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:
Kanuni za @bunge_tz zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi. Mtakosa 2 trillion za donor countries kwa nchi kukosa utawala Bora! Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Wa viti maalum na wa kuteuliwa je? Hawa hawashindwi hata kuwatoa Wabunge wao ikiwa kutakuwa na maslahi yao! Kwani kuna alie salama kipindi hiki?upinzani wa kuingia bungeni wanauunda kwa misingi yapi, walitakiwa wawape ubunge upinzani walio uunda toka wakati wa uchaguzi sio wakati huu
Kuna Mbunge wa CUF na wa CHADEMA watashika kamatiMbunge wa nkasi yupo ataongoza kamati zote hizo
Wala sio mtu mmoja ni njaa za hao walio wengi, mtu mmoja asinge thubutu akijua hulka yao haitakubali... plain and simple!Siku hizi tiss ni mtu mmoja
Polisi ni mtu mmoja
Mahakama ni mtu mmoja
Tume ni mtu mmoja
Yani kila kitu kinaamuliwa na mtu mmoja