dahNa kuishi kwa kutumia kiswahili ni kuishi kiarabu...maana lazima uwe msta-Arab!
Si kweliKiswahili ni kibantu rudi shule ukasome historia ya lugha.
Huyu kasharukia ktk udini tayari...Shule Ulienda kusoma nini kama hujui hata historia ya lugha yako?
Kukopa maneno ni tabia ya kawaida ya lugha yeyote ile ila hiyo haimaanishi kiswahili ni kiarabu. Kwa kuhakikisha hilo sikiliza habari ya kiarabu uone kama utaelewa kama hujui kiarabu au mwambie muarabu asikilize kiswahili uone kama ataelewa, msipende kulazimisha mambo na unasaba na waarabu. Kiswahili ni kibantu
Huyu kasharukia ktk udini tayari...
Ukweli ni kwamba 35% ya misamiati ya kiswahili imetoka ktk lugha ya kiarabu,sasa ukitoka huko umekurupuka useme eti mwarabu aongee hlf tuone msaahil atamuelewa unaonyesha jinsi gani ulivyo na uelewa mdogo hata kutojua maana ya msamiati.
(Swahili translated from arabic word Saahil)
Kaka in makosa kusema kiswahili no kiarabu.Sahihi no useme lugha ya kiswahili ina msamiati mwingi wenye asili ya kiarabu.Katika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya kiarabu kwa miezi kadhaa sasa.
Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu ambayo yana maana sawa na maneno ya kishwahili ila mengine yana utofauti kidogo kwenye uhandishi kwa mfano saba=sab'a,bakia=baqiya,shaka= shakka,sababu=sabbaba ,hamsini=khamsuun,sitini=sittuun,mia = mi'a, elfu = alf kwa kutaja machache.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba mnipe uhusiano kati ya lugha hizi mbili kwa kifupi ,historia zao na chochote muhimu kwenye lugha hizi mbili zinazohusiana kwa karibu sana kwa jinsi nilivyoona kwa kutumia elimu yangu ya msingi kwenye hizi lugha.
Ahsante sana,
Article.
To a mifano kurrthibitisha kauli yako.Yaaap upo uhusiano lakini usiludie kusema ni kiarabu kitupu kwani ni asilimia chache tuu ya misamiati ndo huunda lugha inakadiliwa kuwa na asilimia 30 ya maneno yaliyomo kwenye lugha ya kiswahil yanaasili ya kiarabu kwa mfano vitenzi vyote vya lugha ya kiswahil huishia na a kwenye umoja na ni kwenye wingi tofauti na vitenzi vya kiarabu