Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Ahahahahaha wanakuna vichwa ngoja waje wako njiani kutoka viwanja vya uhuru simu simekata chajiKitendo cha Sheikh Khalifa Khamisi kusema kwamba waislamu waliisaidia CCM kwenye uchaguzi wa Mwaka jana kwa kuitoa "ICU" kinafuta kebehi zote alizotupiwa mwanasiasa Pekee Mkongwe aliyepo hai mpaka sasa Mzee Kingunge Ngombare Mwiru, kwamba alikosea aliposema kwenye uchaguzi huo kuwa CCM imekata pumzi.
Kama Sheikh Khamis anaona kwamba CCM ilikuwa chumba cha wagonjwa mahututi kwenye uchaguzi wa Mwaka jana, basi ni lazima iwepo sababu iliyoiipeleka CCM "ICU". Bila ya shaka CCM ilipokata pumzi mojawapo ya hewa ya Oksejeni iliyowekewa ni msaada toka kwa viongozi wa dini ya Kiislamu iliyoisadia CCM kupata kura toka kwa waumini kwa kiislamu.
Ningeshangaa sana kama Mzee Kingunge na uzowefu wake wote wa kisiasa alio nao aseme kitu ambacho hakina ukweli ama mantiki. Kwa jicho la tatu Gwiji hilo la siasa liliona CCM imekata pumzi. Kumbe udhaifu ulikuwa ni kwa UKAWA kushindwa kuizuia CCM isipelekwe ICU kwenye kuwekewa Oksjeni na kina Sheikh Khalifa!!
Mzee Kingunge, Umetisha!!
Msumari wa moto...Tatizo la viongozi wa dini nchini kwetu ni wanafiki sana,viongozi wa dini wa kiislam na kikristo wote kwa pamoja ni wanafiki wakubwa sana,hata huyu shekhe khalifa ni mnafiki pia.
Wote tunajua jinsi viongozi ea dini walivyotumika kuwalaghai waumini wasio jitambua kwenye misikiti na makanisani ili wampigie kura jini ccm,ukitaka kujua kwamba ni wanafiki hebu tujiulize huyu shekhe khalifa hakushiriki kuipigia jini ccm kura?inavyoonekana alishiriki lkn alitegemea mambo mazuri na matokeo yake kakosa ndio anajitokeza kuhadaa watu wakati naye unafiki umemjaa,watu kama hawa ni wa kuchoma moto kabisa,
Fikiria mtu kama lusekelo aka chapombe alivyojifanya kusifia pombe na akaponda sana upinzani lkn juzi baada ya kuumbuka kwamba ni mtumiaji wa pombe asiye na aibu akilitaja jina la muumba wetu kwa unafiki katoka mbele na kujifanya anampamba lowasa na kingunge ili tu asishambuliwe na upinzani kwa kitendo cha kulewa na kutishia mtu mauji huku akijiita mchangaji,unafiki ndio umewajaa viongozi wote wa dini.
Hii tanganyika yetu imedumaa hivi ilivyo kwa sababu ya unafiki wa viongozi wa dini zote,tufike mahali tuwakatae viongozi wa dini wanafiki kwa kuwanyima sadaka zetu.
Hoja yako hii inahitaji mjadala mkubwa sana tena wa wazi. Kama ulivyosema kina Lusekelo na wenzao walifanya bidii kubwa sana makanisani kuonesha kwamba Lowassa ni mtu hatari na mla Rushwa. Sasa kwa kuwa aliyeshinda mwanachama mwenzao wa CCM ni mkristo, wanachama wenzao wa dini ya Kiislamu wanadhani wao wanabaguliwa na mwana CCM mwenzao waliyemsaidia kuingia Ikulu!!Tatizo la viongozi wa dini nchini kwetu ni wanafiki sana,viongozi wa dini wa kiislam na kikristo wote kwa pamoja ni wanafiki wakubwa sana
Hivi waliomba kwenda kunywa chai ikulu waliruhusiwa?Tatizo la viongozi wa dini nchini kwetu ni wanafiki sana,viongozi wa dini wa kiislam na kikristo wote kwa pamoja ni wanafiki wakubwa sana,hata huyu shekhe khalifa ni mnafiki pia.
Wote tunajua jinsi viongozi ea dini walivyotumika kuwalaghai waumini wasio jitambua kwenye misikiti na makanisani ili wampigie kura jini ccm,ukitaka kujua kwamba ni wanafiki hebu tujiulize huyu shekhe khalifa hakushiriki kuipigia jini ccm kura?inavyoonekana alishiriki lkn alitegemea mambo mazuri na matokeo yake kakosa ndio anajitokeza kuhadaa watu wakati naye unafiki umemjaa,watu kama hawa ni wa kuchoma moto kabisa,
Fikiria mtu kama lusekelo aka chapombe alivyojifanya kusifia pombe na akaponda sana upinzani lkn juzi baada ya kuumbuka kwamba ni mtumiaji wa pombe asiye na aibu akilitaja jina la muumba wetu kwa unafiki katoka mbele na kujifanya anampamba lowasa na kingunge ili tu asishambuliwe na upinzani kwa kitendo cha kulewa na kutishia mtu mauji huku akijiita mchangaji,unafiki ndio umewajaa viongozi wote wa dini.
Hii tanganyika yetu imedumaa hivi ilivyo kwa sababu ya unafiki wa viongozi wa dini zote,tufike mahali tuwakatae viongozi wa dini wanafiki kwa kuwanyima sadaka zetu.
Hizo za kichina china hazifai nchini kwetu!!Hawa kina Sheikh Khalifa Khamisi ni watu wanaotakiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuwapotosha waumini wenzao.
(A) Kiongozi wa dini akitumia madhabahu au misikiti kupiga kampeni kwa chama cha siasa linabaki yeye na Mungu kubadili matumizi ya Mungu kuwa kisiasa..Lakini angalau ana haki ya kutimia hiyo madhabat maana ni mhusikaKitendo cha Sheikh Khalifa Khamisi kusema kwamba waislamu waliisaidia CCM kwenye uchaguzi wa Mwaka jana kwa kuitoa "ICU" kinafuta kebehi zote alizotupiwa mwanasiasa Pekee Mkongwe aliyepo hai mpaka sasa Mzee Kingunge Ngombare Mwiru, kwamba alikosea aliposema kwenye uchaguzi huo kuwa CCM imekata pumzi.
Kama Sheikh Khamis anaona kwamba CCM ilikuwa chumba cha wagonjwa mahututi kwenye uchaguzi wa Mwaka jana, basi ni lazima iwepo sababu iliyoiipeleka CCM "ICU". Bila ya shaka CCM ilipokata pumzi mojawapo ya hewa ya Oksejeni iliyowekewa ni msaada toka kwa viongozi wa dini ya Kiislamu iliyoisadia CCM kupata kura toka kwa waumini kwa kiislamu.
Ningeshangaa sana kama Mzee Kingunge na uzowefu wake wote wa kisiasa alio nao aseme kitu ambacho hakina ukweli ama mantiki. Kwa jicho la tatu Gwiji hilo la siasa liliona CCM imekata pumzi. Kumbe udhaifu ulikuwa ni kwa UKAWA kushindwa kuizuia CCM isipelekwe ICU kwenye kuwekewa Oksjeni na kina Sheikh Khalifa!!
Mzee Kingunge, Umetisha!!
(A) Kiongozi wa dini akitumia madhabahu au misikiti kupiga kampeni kwa chama cha siasa linabaki yeye na Mungu kubadili matumizi ya Mungu kuwa kisiasa..Lakini angalau ana haki ya kutimia hiyo madhabat maana ni mhusika
(B) Kuna mmoja ambaye hakuwa na HAKI YOYOTE kutumia madhabahu maana ni MWANASIASA TYPICAL. ..pia alikuwa na uwezo wa kuongea dakika si zaidi ya TANO alikwenda Kanisani na kuomba kura kwa kudai NI HAKI YAO SASA NA WAO KAMA DHEHEBU KUMTOA RAIS WA NCHI hii...
My Take:-NI NANI KATI YA HAO WAWILI ALIYEKUWA ICU????? NANI ALIKATA PUMZI??????
Vitu vingine kabla ya kupost humu muwe mnafikiria au kuwa na record za nyuma za wale mnaowatetea!!!!!
Sorry nawaza kwa sauti tu!!!!!!!
Kitendo cha Sheikh Khalifa Khamisi kusema kwamba waislamu waliisaidia CCM kwenye uchaguzi wa Mwaka jana kwa kuitoa "ICU" kinafuta kebehi zote alizotupiwa mwanasiasa Pekee Mkongwe aliyepo hai mpaka sasa Mzee Kingunge Ngombare Mwiru, kwamba alikosea aliposema kwenye uchaguzi huo kuwa CCM imekata pumzi.