Kipstech
Member
- Feb 15, 2012
- 38
- 22
Hivi unajua kuwa English ni lugha ya wanyama....Maan a Paka akiona unamcheleweshea maziwa anakwambia,"NOW ."
Ng'ombe ukimpa majani akiwa hajashiba utamsikia akikwambia,"M0R E."
Mbwa ukipita karibu na nyumba yao na kama hajajua kuwa wewe ni nani utasikia anakuuliza,"WHO WHO."