Kumbe Kikwete alibanwa mbavu Butiama!

Kumbe Kikwete alibanwa mbavu Butiama!

ccm ni wasanii wakubwa na wababaishaji wanatuchezea brain zetu sisi watz naamini ipo siku vipofu wataona viziwi watasikia chama cha majambazi(ccm)kitakavyo anguka
 
CCM ya zanzibar ndio peke yake inayoitikisa serekali ya TANZANIA na viongozi wake hilo mkitaka msitake CCM zanzibar wamekamata Mpini wa kisu na CCM Tanganyika wamezuwia makali ya kisu hicho kulitambuwa hilo angalia jinsi gani NEC toka Zanzibar ilipokuwa inafoka ndani ya bunge na ikafikia mahali wakasema kama ni mseto basi Afroshirazi irudishwe na Vingozi wote wa tanganyika walinyweya kama vile kuku aliyewekwa katika gunia la mji kwa hali hiyo imeizidi kufahamika kuwa CCM zanzibar hawajali maslahi ya Tanzania au watu wake wa zanzibar wanachokihitajia upande wa Tanganyika mlizi wakuwalinda na kuwapa mahitajio yao na kwa upande wa bara wanahisi bila ya Zanzibar ni sawa na gari bila ya kuwa na body kinachofanyika Tanzania ni mambo kama wanayoyafanya warusi kuwafanyia wamarekani na nchi nyengine za ulaya wakileta mameno warusi wanasema tutawachia mabomu ya sumu wakitowa kauli hiyo hupewa kile wanachokitaka na hapa ndivyo inavyoendeshwa serekali ya Tanganyika na Zanzibar fanya hivi au tunavunja au tunajitowa katika mungano na hili limeonekana juzi pale NEC zanzibar walipofoka na kutowa kauli za kurejesha ASP inamaana hilo lipo katika akili zao ikiwa hawatoridhiwa na wayatakayo watafanya uwamuzi huo hawatojali tena CCM wenzao bara ipo siku CCM zanzibar itawaliza CCM Tanganyika
 
Lazima watu wapinge tuuuuuuuuu!

Haya ngojeni 2050 Chadema kitakapokuwa madarakani.

Upande wa pili wa shilingi hivi nyinyi mnafikiri kuwa wajumbe wa NEC ya CCM ambao baadhi yao ni mawaziri wa Zenj wakubali kuachia ngazi ili kupisha CUF? what a joke!

Hili suala ni la JK mwenyewe kulimaliza kama head of state na sio within CCM.

Hope mmenipata wazee.
 
JK ni rais safi sana na ninamkubali
Hana papara na metoa uhuru kwa kila kiumbe kuamua jinsi kionavyo,kama alivyowapa wazenj uhuru wa kuamua kwa kura za maoni
sioni sababu za kumlaumu hapa,
yuko correct kabisa mtu wangu hapa.

Swali?
Kwanini huu mpasuko uko zenj?
Kwanini hiyo serikali ya mseto isiwe ya nchi nzima?
hamuoni kasoro wandugu hapo?
kwanini politics za zenj ni za kuhatarisha amani,na mapnga shaaaashahaaaaaa?
ni vema tujihoji.
me nimechoka na uzanzibar na ubara,hata JK na makamba wanchoka sana tena sana,waacheni wapumzike,ni viumbe kama sisi,kukicha zanzibar zanzibar zanzibar,kitu gani?kwani tz yoooote ni zenj?

Nampongeza JK m-bara mwenzetu kwa kuwaachia wananchi waamue wenyewe,na huu ndo uongozi mzuri kote duniani.

JK tunakuombea uwe Rais tena ili utupe na sisi wafanyakazi uhuru wa kuchagua mishahara,na maVX,GX,maprado,matrekta,n.k................



teh teh ...aiseee..tunaye rais mwanajeshi shujaa kweli kweli...hataki hata majani yaumie....mimi nitachagua helicopter..!!!
 
nakubaliana na mjumbe aliyesema..""TUNAYE RAIS ASIYEJUA NGUVU ZAKE KIUTENDAJI KAMA RAIS...TUNAYE RAIS ASIYETAKA KUONEKANA MBAYA...HATA KWENYE KUTEKELEZA MAAMUZI YA KIMSINGI AMBAYO HAYATAFURAHISHA WATU..."...the president is failing to exercise his vested powers....kiongozi huwezi kumfurahisha kila mtu ...maamuzi mengine ni machungu ..yatawafurahisha WAJUKUU zetu ...na tanzania ya kesho..au sisi tubakie tunaangalia tuwaachie watoto wetu mitahani zaidi...tutakuwa na faida gani kutangulia duniani?????
 
Wakati tuko jeshini tunapiga kwata RENZ-Kopolo wa jeshi alikuwa akitukumbusha kuwa ukitaka kumjua mtu Mchokonoe.

Sikujua kama MKuu Gembe ni Mtu wa kukurupuka
 
nakubaliana na mjumbe aliyesema..""TUNAYE RAIS ASIYEJUA NGUVU ZAKE KIUTENDAJI KAMA RAIS...TUNAYE RAIS ASIYETAKA KUONEKANA MBAYA...HATA KWENYE KUTEKELEZA MAAMUZI YA KIMSINGI AMBAYO HAYATAFURAHISHA WATU..."...the president is failing to exercise his vested powers....kiongozi huwezi kumfurahisha kila mtu ...maamuzi mengine ni machungu ..yatawafurahisha WAJUKUU zetu ...na tanzania ya kesho..au sisi tubakie tunaangalia tuwaachie watoto wetu mitahani zaidi...tutakuwa na faida gani kutangulia duniani?????

Haya maneno ni makubwa na yanahitaji tafakuri ya muda.

Wakati wa Mwalimu tulikuwa tukiimba nyimbo nyingi za Tanzania moja wapo ya wimbo niliyoimba sana sekondary ilikuwa hivi " Hili tuendelee tunahitaji mambo makuu manne ya muhimu" Nayo ni:
1. WATU,
2. ARDHI,
3. SIASA SAFI
4. UONGOZI BORA (KIONGOZI BORA).

Tukiangalia hayo mawili ya juu hatuna shaka nayo. Ya pili ya mwisho ndiyo yanayoleta shida sana.

Juzi kulikuwa na Mjadala baada ya Tanzania kuambulia nyuma ya baadhi ya nChi katika AFRIKA. Moja ya suali lililoulizwa/tutakalo endelea kuuliza ni hivi kuna tofauti gani kati ya KIBAKI na KaRUME, yupi ni bora tukiangalia jinsi walivyopatikana(walivyo kwaa urais)?

Nafikiri haihitaji muda kufikiria kujua hafadhali ya KIBaki maana angalau wakenya wanasema kuna siku watapata serikali ya Mseto. lakini wanaojua siasa za Tanzania wanajua hakuna kitu kama hicho kinaweza kutokea.

Wala mambo ya kusema Kikwete alibanwa mbavu, thubutu asikudanganye mtu huo ulikuwa usanii na inawezekana ulipangwa tangia zamani.

Nashangaa hata Mrema alijua hili pamoja na kwamba Seif na Lipumba inaonekana pamoja na kuwa na uzoefu na siasa za Tanzania JK aliwalagai na wakakubaliana naye.

Sasa inatakiwa tumtafute labda Koffi na Kibaki.
 
Daaa mimi ndo kabisa namkubali vibaya mno.kwanza jk hana hasira na wananchi wake,hata mseme vipi wala hana shida na nyie,
kwanza amewapa fursa ya kuongea mnavyotaka,kutoa maoni mnayotaka lakini kwa kuwanyie mna nia mbaya ya kuvunja amani ndo maana mnasemasema ovyo juu yake,but president kikwete he is cool actual no matter what.
obviously when someone try to pull you down, just be proudly for it becoz end of the day you will be above of them.
 
Back
Top Bottom