Mkuu pole sana, usiwaze sana. elewa hawa ndo aina ya viongozi tulionao, Kumbuka kwamba kwenye haya mambo, including lile sakata la radar, walitumiwa wanasheria wakuu hawa hawa ku-make sure kwamba iki-back fire, haiwezi kuwarudia, wanakuwa wamefanya utafiti wa kisheria na ku-analyze way out.......hata kama sio sahihi sana, kwa vile wapo kwenye power hiyo alternative route ndo inatumika.
Hili ndilo lililotokea kwa Richmond. Ndilo litakalotokea kwa Rdar as well. Hili Linchi ni muozo kabisa.
utakufa na pressure bure kaka angu, ukianza kufikiria uozo wa nchi hii. we tafuta chako kula n life goes onNawaza hivi, kama anayetajwa kuwa mmiliki wa KAMPUNI YA KITAPELI ya RICHMOND, anashitakiwa na serikali kwa kuitapeli na kuisababishia hasara kubwa-Mohammed Gire, je imekuwaje Gire kusaini mkataba halali na Dowans uliyoiwezesha Dowans kuwa halali kibiashara hapa nchini?!!
Kumbe kweli serikali hii hatari. Aibu tupu.Hii kesi alishindaje DOWANS? Je mwanasheria Mkuu wa serikali anaelewa kwamba anamshitaki Mohammed Gire kwa utapeli? Sasa inakuwaje hata RICHMOND INA MGAO wa hizo fedha, je hizo fedha atapewa nani ? Je ni Mohammed Gire ndiye atakayelipwa?!
Nchi hii kweli ni ya wadanganyika. To hell with you Rostam.SIJAPATA KUJISIKIA VIBAYA KAMA LEO LILIPONIIJIA WAZO HILI.
utakufa na pressure bure kaka angu, ukianza kufikiria uozo wa nchi hii. we tafuta chako kula n life goes on
utakufa na pressure bure kaka angu, ukianza kufikiria uozo wa nchi hii. we tafuta chako kula n life goes on
Bongo si mchezo, kwenye ulaji watu hawalazi damu, mabadiliko ni muhimu kabla hawajamaliza kila kitu!!!!!kesi ya Gire hata bado haijaisha lakini ya Dowans imepita kwa supersonic speed...
utakufa na pressure bure kaka angu, ukianza kufikiria uozo wa nchi hii. we tafuta chako kula n life goes on
Nawaza hivi, kama anayetajwa kuwa mmiliki wa KAMPUNI YA KITAPELI ya RICHMOND, anashitakiwa na serikali kwa kuitapeli na kuisababishia hasara kubwa-Mohammed Gire, je imekuwaje Gire kusaini mkataba halali na Dowans uliyoiwezesha Dowans kuwa halali kibiashara hapa nchini?!!
Kumbe kweli serikali hii hatari. Aibu tupu.Hii kesi alishindaje DOWANS? Je mwanasheria Mkuu wa serikali anaelewa kwamba anamshitaki Mohammed Gire kwa utapeli? Sasa inakuwaje hata RICHMOND INA MGAO wa hizo fedha, je hizo fedha atapewa nani ? Je ni Mohammed Gire ndiye atakayelipwa?!
Nchi hii kweli ni ya wadanganyika. To hell with you Rostam.SIJAPATA KUJISIKIA VIBAYA KAMA LEO LILIPONIIJIA WAZO HILI.
Me natoa angalizo tuu kwa huyu RA kuwa na ulinzi la sivyo mtamkuta kalala kwa gari hapo kwa traffic Rights ipo siku na tunako kwenda au kuburuzwa kama wasomali walivyo watenda wa America kwa Somali land ndio itakvyotokea kwa RA siku za mbeleni wananchi watachoka sasa kwa hizi habari jinsi muda unavyo kwenda kwa kasi ndio serikali inachemka na kushindwa kuwawajibisha wahusika na kuiacha nchi ikiingia kwa janga la ajabu hii hali twaiongea sasa ni inakuja tena mbaya sana ila ikitufikia ndio tutaijua vyema na kuheshimu madaraka na utawala kwa wananchi tunao watawala na kuwa na machungu na nchi yetu
Hawajali kwa sababu wana msemo ule kwamba watanzania ni watu wakusema sema sema tuu,watasema halafu watasahau,kwani wewe umeona kesi ya GIRE pale kisutu imetajwa tena jiulize mwenyewe na huku tunasema tunainvestigative journalist ni manyanya pia si mpaka sasa wangesha tafiti hiyo connection kinyaa kabisa puu nchi imeliwa hii