Kumbe Kenya hakunga chama cha siasa cha kudumu

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
3,156
5,657
siasa za Kenya ni za ajabu kidogo

Mtu anaweza kuanzisha chama akiona ana followers.baada ya uchaguzi akishinda uchaguzi chama cha siasa kina kuwa hakina tena maana yoyote.Ndiyo maana huwezi sikia kenya neno chama cha upinzani.maana yake hakuna chama cha kudumu vyote vinapoteza nguvu baada ya uchaguzi.mfano.KANU haipo tena.imebakia na familia ya akina moi.

chama alichogomea nacho Kenyata awamu ya kwanza siyo alichogombea nacho awamu ya pili.

hakuna kupoteza muda sijui kuunda chama nacho kinakuwa kama serikali nyingine kama ilivyo kwa nchi zingine za kiafrica

Ingawaje upinzani uliopo ni ule wa makabira. Kwa upande mwingine ukabira ndiyo siasa zenyewe.Yaani Kenyata ndiyo(Mkikuyu) ndiyo kama CCM yenyewe.wakikuyu wote watamuunga mkono hata akiwa hana chama cha siasa.Kuna ukabila wa hatari sana.Yaani wakikuyu ndiyo wanaoamua nani awe raisi.na ndiyo mataikuni wenye fedha nyingi.wana uwezo wa kumsuport yoypte watake ona wanamhitaji.Halafu Odinga (Mluo).Waluo wote watamuunga mkono siyo chama chake.Na zaidi watajikita kutetea maslahi ya makabila yao katk kampeni.Waluo ndiyo maskini wa kutuputwa.hivyo Odinga atajikita kuwaaminisha kwamba akishika madaraka serikali itahudumia familia zao.

Ingawaje kwa upepo uliopo.Ruto hapo 2022 ataungwa mkono sana na wakikuyu kwa kile kinachodaiwa Kenyata amewasaliti wakikuyu kwa kuungana na Odinga na kumtelekeza Ruto aliyekuwa bega kwa bega wakati wa ile mikesi ya ICC.Ijapo RUTO siyo Mkikuyu ataungwa mkono na wakikuyu kama fadhira na kumkomoa Kenyata.Hata hivyo kenyata hana cha kupoteza.Ingekuwa bongo tungesema anaacha chama pabaya.lakini huku kama nilivyosema chama baada ya kukuingiza ikulu/kukupatia jimbo hakina kazi tena.

Hivyo vyama huundwa wakati wa uchaguzi na hupeteza umaalufu baada ya uchaguzi kuisha.hakuna cost ya kuendeshea vyama.sijui mambo ya ruzuku kama ilivyo huku kwetu
 
Wakenya wanajitambua na wanasoma na kuelimika.siyo Sisi mtu ana PhD lakini hajielewi.Yaani huwezi jua ni muda gani amesimama kama rais na muda anasimama kama mwenyekiti wa ccm
 
siasa za Kenya ni ukabila tu unaamua nani awe kiongozi...hawajali sana sifa za mtu.
 
Back
Top Bottom