Kumbe Kanali hapigi salute kwa IGP

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
Nimeona leo Ikulu, Kanali ambaye ni Mpambe wa Rais kapiga salute kwa CDF ila kwa IGP kabana mikono tu na IGP naye akabana.
 
Nimeona leo ikulu, kanali ambaye ni mpambe wa rais kapiga salute kwa CDF ila kwa IGP kabana mikono tu na IGP na akabana.

Hata kubana mikono ni salute pia. What matters ni nani kaanza, aliyeanza ndiye mdogo.

Kingine, kuna sababu ya kubana mikono na kuinua mkono. Kama askari hayupo full, yaani hajakamilika, either kavaa uniforms zote lakini hajavaa minda, hapa atabana mikono, ikiwa askari hajavaa uniforms yaani amevaa kiraia, hapa atabana mikono. Ikiwa yupo uchi, atabana mikono. Akiwa hajavaa kofia, atabana mikono.

Zaidi, hata kama askari yupo full lakini muda ni jioni ambapo bendera ya taifa imesha shushwa, hapo huwa salute za kuinua mikono huwa hazipigwi ni mwendo wa kubana mikono tu.
 
Nimeona leo Ikulu, Kanali ambaye ni Mpambe wa Rais kapiga salute kwa CDF ila kwa IGP kabana mikono tu na IGP naye akabana.
Msioenda jeshini mnafahamikà. Kukiwa na pande 2 zinakutana Seniors za pande hizo ndio husalimiana na wengine mtabana mikono. Na katika hao Seniors, aliye mdogo kwa cheo ndio atamsalimia mkubwa aliye upande meingine.
Pale waliosalimiana ni Rais na IGP na kwa kuwa IGP ni mdogo ndie aliyepiga saluti kwa Rais hivyo mpambe hapo hahusiki maana Senior upande wake keshasalimiwa yeye atabana mikono tu.
 
Mbona kanali kapiga salute kwa CDF!
 
Back
Top Bottom