Kumbe jini

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
mimi nikijana wa miaka 26 nilikuwa naishi na mke wangu kipenzi ambae tulikuwa tunapenda sana
siku moja nikiwa nyumban ndipo nilipopigiwa cm na rafiki yangu niende kuonana nae ufukweni COCO BEACH kabla sijaonana nae ndipo nilikutana na mdada mzuri mwenye kila sifa za kuitwa mke ingawa nina mke nyumban
kiukweli tulizungumza mengi bila ya kujua yeye ni nani maongezai yapoisha tukapeana namba za cm 071..... siku moja nikiwa oficcen ndipo ile namba ilinipigia ikiniomba nikutane nae maeeneo ya san rise saa 4 kwakua nilikuwa naitaji kujua ut.... wake nikatoka zangu na kwenda kuonana nae daah kiukweli mtoto alikuwa kaumbika kila idara mtumzima nikachukua mijihele uku nikipitia sehemu kuchukua chumba cha kupumzikia maana nyumban nilimuaga mke wangu kuwa sito rudi ndipo nilipo patwa na majanga ni vigumu kueleza ila nitaendelea badaee.. jaman........!
 
a.SOGA
b.NGANO
c.VIGANO
d.Visasili
which is which??
 

bado hujawa kama anavyotunga story nzuri kama shingongo kazana
 
Msikose kufwatilia msimu ujao wa simulizi hii ya kutunga
 
Sasa ungesubiri hiyo baadae ili uje na story kamili
 
Raha ya stori uisome had mwisho utadhani hadith za shigongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…